chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Kigamboni kama Kigamboni
Nairobi sio katikati ya Kenya yet 60% ya inter-county roads hazipo pavedNi Kama sisi pia tuseme from Dodoma juu Ni katikati ya nchi kama kanairo!!!
Nairobi ikiwa katikati ya nchi to moyale it's 748km, lodwar 628, lamu 668,modogashe 528km etc
But roads zenye zinaconnect this major roads ndio za maana,
Plus za within town estates
Bado munatumia post za kuni kusambaza stima. 😂😂😂 Tukianza battle ya estates mutatoroka kabla saa nne ifike.
Ni mifukara kwa wingi, watu wa mihogo na maharage what do u expect?, hard for serious businesses to thrive, wamejengewa masoko lakini bado wanapanga bidhaa kando ya mabarabara, can't u see their gospel and secular artist wanavio tiririka huku ili kutengeneza hela.., going deep even to a town like Malindi na watu wanajaza show zao paid in full..,Online shopping ndiyo sasa wako hovyo kabisa. Even Jumia closed their operations in Tanzania.
Nimesema toka Nairobi! Pimbi wewe!Mombasa to Malaba yote ni lami.
Namanga to Moyale yote ni lami. A country with barabara za lami ya 21,000 km itakosaje lami ya 500km. Sazingine tumia akili ya kuzaliwa.
Nimesema toka Nairobi! Pimbi wewe!Mombasa to Malaba yote ni lami.
Namanga to Moyale yote ni lami. A country with barabara za lami ya 21,000 km itakosaje lami ya 500km. Sazingine tumia akili ya kuzaliwa.
😂 😂 😂 😂 Nyumba kama hizi zimejaa huko Mavoko na Athi River
mwenye picha hapa tafadhalihili daraja litakuwa 🔥 mwenye picha za karibuni atuonyeshe
The level of excuses they are flaunting here is sickening. Eti wao hufanya shopping kwa maduka! Kwani Kenya ndio Hakuna maduka (shops)?Ni mifukara kwa wingi, watu wa mihogo na maharage what do u expect?, hard for serious businesses to thrive, wamejengewa masoko lakini bado wanapanga bidhaa kando ya mabarabara, can't u see their gospel and secular artist wanavio tiririka huku ili kutengeneza hela.., going deep even to a town like Malindi na watu wanajaza show zao paid in full..,
Where did you get that 60% from?
Huwa wanakurupuka tu, wanajaribu kujikweza, Tz iko down balaa.., nchi fukara hawapendi ukweli.,Where did you get that 60% from?
Nioneshe barabara ya lami Mombasa to Lokitaung 😂😂😂😂Where did you get that 60% from?
Personally have never heard of Lokitaung! iko county ipi? ama umechukua jina ya ka location?.., kama ni Turkana, lami imeunganishwa., toka Isbania border ya Tz hadi Turkana county, from Mombasa to Turkana Via Nairobi, Nakuru through Eldoret all the way..,Kama Kuna mkunya mwenye ubavu anioneshe barabara ya lami ya Mombasa to Lokitaung 😂😂😂😂
Nyumba za "gebo" 😂 😂 😂 And mind you, Kigamboni is one of their affluent suburbsNyumba zingine kama hizi mbona ni za kizamani hivyo.., nyumba za muonekano wa kishamba sana 😂 😂 😂 😂
View attachment 2043505
View attachment 2043505
Jibu swali kijana, where did you get that figure from?Nioneshe barabara ya lami Mombasa to Lokitaung 😂😂😂😂
Lokituang is just a settlement in Turkana county according to google., kumbe wewe ni mjinga size ya mbuzi 😂 😂 😂 😂 😂 ., Turkana county iko connected na lami wacha ujinga..Nioneshe barabara ya lami Mombasa to Lokitaung 😂😂😂😂
Lokitoung is in Turkana County. The guy thinks there's no paved road from Mombasa to Turkana county 😂 😂Personally have never heard of Lokitaung! iko county ipi? ama umechukua jina ya ka location?.., kama ni Turkana, lami imeunganishwa., toka Isbania border ya Tz hadi Turkana county, from Mombasa to Turkana Via Nairobi, Nakuru through Eldoret all the way..,