Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sasa watutengenezee pia warioba street potholes zinamaliza suspension
Lami ilishapita muda mrefu

Screenshot_20211214-191635.png
 
Wakenya Hawaamini Tanzania tuna zaidi ya kilometers 500 za concrete wakati wao hata meters 2 hawajawahi kuona 😂😂😂
 
Wakenya Hawaamini Tanzania tuna zaidi ya kilometers 500 za concrete wakati wao hata meters 2 hawajawahi kuona
Hizi tulianza 2005 raila akiwa minister of roads, si pia saii pale kwa port ndio mnajenga barabara ya concrete, mko behind schedule bana
 
Back
Top Bottom