Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni takataka kweli mchanga unakuaga hivi?

View attachment 2044036
Mchanga kama hii, hata nje ya some embassies, hakuna lami.
Surveyed Plot For Sale at Mikocheni | TANZANIA REAL ESTATE
 
Concrete road kwa feeder road za mtaani, tena on a flat surface . Unadhani sisi ni wajinga. 🤣🤣🤣🤣 Hii umepost unajua hata mbona inatengenezwa na concrete au unafanya tu comparison za kipuzi ukijaribu kujitetea.
 
Kwa upeo wako mdogo ni maeneo gani unafkiri yanafaa kuwa na concrete roads.? 😂😂😂 Mpumbavu kweli wewe.. ni dhambi kwa flat surface kuwa na concrete roads.? Unajua hata ni kwanini concrete roads hujengwa.? 😂😂😂
 
Concrete road kwa feeder road za mtaani, tena on a flat surface . Unadhani sisi ni wajinga. 🤣🤣🤣🤣 Hii umepost unajua hata mbona inatengenezwa na concrete au unafanya tu comparison za kipuzi ukijaribu kujitetea.
Bado sijaelewa hoja yako, Tanzania ndio nchi pekee Africa yenye mtandao mkubwa wa concrete roads
 
Back
Top Bottom