LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Na bado
na bado kwa project ya mchina ajira zinaenda kwa mchina pesa inakwenda kwa mchina for 30 good years😂😂😂 my friend
High salaries but also high prices and living expenses at the end of the day no savings but the Government has already taken its lion share of tax leaving workers penniless. The Government ndio imeona now kwamba this is not sustainable ndio inaanza kupunguza salaries.Are you able to prove these claims?
Acha udwanzi hizo unazoona hapo pembeni ni nini?Hapa Ni wapi! Haiti?kwani planning Ni -1000
Unajenga aje barabara ndani ya city without service Lanes!
Kwa wale wanaofikiria vita ni mchezo wa watoto wadogo tazameni hii video kutoka Ethiopia. Kama una roho nyepesi usitazame.Weka infrastructures za Nairobi, wacha maneno mengi
Kwa wale wanaofikiria vita ni mchezo wa watoto wadogo tazameni hii video kutoka Ethiopia. Kama una roho nyepesi usitazame.
ni wapi salaries zinapunguzwa we boya?High salaries but also high prices and living expenses at the end of the day no savings but the Government has already taken its lion share of tax leaving workers penniless. The Government ndio imeona now kwamba this is not sustainable ndio inaanza kupunguza salaries.
Leta longest distance all tarmack toka Nairobi above 500 km!Wacha uongo wewe, ety 400km. Huna hata aibu.
Mmepunguza salaries za Polisi!ni wapi salaries zinapunguzwa we boya?
hili daraja litakuwa 🔥 mwenye picha za karibuni atuonyeshePale Bandari/ Gerezani kuna kuna progress , pillars kadhaa zishanyanyuka haraka kuliko zile zilizoanza mwanzo karibu na Roundabout.
HUU MJADALA TUSHAUFUNGA.....MMOJA WENU KESHA KUJA KENYA NA KUTHIBITISHA YA KUWA MNAHITAJI MIAKA KAMA 25 ILI MUIFIKIE KENYA.....BYEEEEEE