eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
"TUTAAA TUTAAA TUTAAA!!" Walisikika Wabongo walevi wakiimba. Wazee wa kupiga soga juu ya mawe wakati SGR Dar mpaka Moro bado haijakamilika 2 years behind deadline. Mradi huu wa bomba ambao tulidanganywa kwamba utaanza April mwaka huu hata naona mwaka huu utaisha bila mradi huu kuanza. Watu wa tuta tuta mnachosha sana.
You never stopped using your feel good phrases.
Kaa mkao wa kuliwa, maana mChina anamendea SGR yenyu.

