Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😛😛
Mimi siyo wa level ya civics?
Lkn Pale Wizarani kuna wataalam wote kuanzia legal, finance, urban planning and development, education, health to name a few. Watakupa vigezo na masharti, halafu utaona kama kwenu kiboruloni kama kunakidhi vigezo na masharti ya kuwa jiji.
Halafu nikishapata jibu litanisaidiaje? Nina nguvu ya kuleta mabadiliko?
 
Fala wewe huwa una support wakiiponda Tz na c Kenya, mbwa wewe haya ni support na mm basi ninayesema serikali ya Kenya imejaa wezi
Wewe kilaza usiyejielewa ni mtu wa kusupport? Kuna watu wa kusupport ila sio wewe
 
Nilisema kuwa ukiingia CBD ya Mwanza kitu cha kwanza kuona ni makazi duni na bado kuna watu wanasema mimi ni muongo.

Evidence: Exhibit 1.
View attachment 2026445
hio sio CBD kumbe mwanza huijui 🤣🤣🤣🤣
kwa taarifa yako CBD hii hapa



ukiambiwa mwanza huijui unakasirika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nicxie njoo ucheke na humu pia
 
Utawafanya Ichoboy ba The best 007 washikwe na heart attack 😂
bila make up sasa ni ushuzi wa nguruwe 🤣🤣🤣🤣🤣 mm huna cha kunidanganya ww
63114DA8-B984-4E8F-8A2B-E834F1362135.jpeg
8A907CBF-BB65-45B3-830B-9472110F1F16.jpeg
 
hio sio CBD kumbe mwanza huijui 🤣🤣🤣🤣
kwa taarifa yako CBD hii hapa



ukiambiwa mwanza huijui unakasirika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nicxie njoo ucheke na humu pia

EA8D3E7E-3AA6-4B5F-AF38-18AA70926AA3.jpeg



Kwa hiyo hiyo sehemu kwenye picha yangu ni wapi?
 
hayo ni maeneo outside the CBD mzee kubali mwanza huijui 😂😂😂
Outside the CBD? 😂😂😂 Really? So unanigaslight namna hii kwasababu hukubaliani na mimi?

Fukwe za ziwa Victoria Ndio CBD?
 
Outside the CBD? 😂😂😂 Really? So unanigaslight namna hii kwasababu hukubaliani na mimi?

Fukwe za ziwa Victoria Ndio CBD?
nikikwambia ww huijui mwanza unalia kwann sasa 😂😂😂😂 nimecheka sana leo
zawadi yako hii hapa

 
nikikwambia ww huijui mwanza unalia kwann sasa 😂😂😂😂 nimecheka sana leo
zawadi yako hii hapa


Video yako haionyeshi chochote bora. Bado slums ziko pale pale na zinaonekana wazi wazi. Picha niliyoipost unaikataa lakini ni valid. Hospitali ya BMC inaonekana vizuri tu mlimani na CBD ya Mwanza inaonekana kweupe. Kwa hiyo kataa uwezavyo. Ukweli umekuumbua! Unasema hiyo picha ni outside the CBD? Let’s pretend that you’re right. Haya kuna afadhali?
 
Back
Top Bottom