Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 756
- 2,097
Hzo ndo gorofa zikipigwa picha aerial zinaonekana nyingii ukiongezea make up basi wanavimba..
Hzo ndo gorofa zikipigwa picha aerial zinaonekana nyingii ukiongezea make up basi wanavimba..
Mji wowote duniani ambao hauna modern infrastructures like BRT system and electric sgr basi huo mji ni wa kizamani.BRT ni mfano mmoja wapo.













Hapo ndiyo umuhimu wa raisi kama magufuli unapo takiwa si unaona sgr ya mchina alivyo ikwamisha kwa mbinu na mikakati mingi hadi nchina kakubali hasara yote ni kwa serikali ya kenya ,mbinu aliyo tumia ya kujenga sgr ya umeme ili vunja kila mpango wa sgr ya kenyaNdio maana Uganda iko hapa na kuahidi kutumia bandari zetu zaidi.
Wasi Wasi wangu ni kwamba, China iki take over KPA itataka kuwa hub ya Afrika. Ukizingatia mizigo mingi inatoka Asia na pia wana vessels na shipping line kubwa sana. Hivyo threat kwao Kwa Sasa ni Tanzania.
Wakubwa zetu na wenye maamuzi wawe makini sana maana mchina lazima atutupie ndoano kali sana ya kutuvuta. Huu ndio muda ya kuchanga karata na kupiga hesabu zetu vizuri.
Ombaomba wate africa wanaitambua kenya kuwa ni Hija kwao kwanza mtume wa maomba omba wote ni uhuru kenyatta ndiyo mtume wao hivyo ombaomba hakiwa kenya ujue yupo hija anahijiAnd I can share with you thousands of articles about Tanzanian beggars on Kenyan streets
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakikupa ni tagBro naomba picha kunya BRT ili niwacheke kidogo.
Ombaomba wate africa wanaitambua kenya kuwa ni Hija kwao kwanza mtume wa maomba omba wote ni uhuru kenyatta ndiyo mtume wao hivyo ombaomba hakiwa kenya ujue yupo hija anahiji









Hata kwenye mabasi yao wanafanya hivyo hivyoHuwa wanatumia picha za enzi ya uzinduzi, alafu ukiacha low quality infrastructures pia jamaa ni wachafu sana.
Inahitajika umakini sana. Maana Tanzania ni kubwa na ina mtandao mpana wa kuzifikia nchi nyingi. Kuna amani na utulivu wa kutosha. Ni eneo la kimkakati Kwa maswala ya kilojistiki katika ukanda wa mashariki, Kati na kusini mwa Afrika. Hii tuitumie Kwa faida. La sivyo watatuumiza tu pakubwa sana.Hapo ndiyo umuhimu wa raisi kama magufuli unapo takiwa si unaona sgr ya mchina alivyo ikwamisha kwa mbinu na mikakati mingi hadi nchina kakubali hasara yote ni kwa serikali ya kenya ,mbinu aliyo tumia ya kujenga sgr ya umeme ili vunja kila mpango wa sgr ya kenya
Kwasasa Tz viongozi wanajitahidi mana wanajua wananchi co wajinga kama zamani lkn pia Magufuli katufungua sn Watz kwamba tuna haki ya kuwawajibisha viongozi kama hawatendi tunavyotaka, zamani wananchi walikuwa wanadhani wao ndiyo wafanyakazi alafu viongozi ndio mabos kumbe haiko hvyo, Magu aliwakimbiza sn viongozi waliochini yake ikapelekea Watz wajue kwamba wao ndio maboss na viongozi ni wafanyakazi.Inahitajika umakini sana. Maana Tanzania ni kubwa na ina mtandao mpana wa kuzifikia nchi nyingi. Kuna amani na utulivu wa kutosha. Ni eneo la kimkakati Kwa maswala ya kilojistiki katika ukanda wa mashariki, Kati na kusini mwa Afrika. Hii tuitumie Kwa faida. La sivyo watatuumiza tu pakubwa sana.
Mchina alivyo inawezekana alijenga sgr akaachia katikati hili wampe mombasa port halafu anamalizia reli anaanza kuvuna pesa. By the way Jerusalem Nairobi moto mshafanikiwa kuzimu . Kweli kuna unknown place nyingi hii Jerusalem ndio sikia leo Tony254 ebu zitaje zoteHapo ndiyo umuhimu wa raisi kama magufuli unapo takiwa si unaona sgr ya mchina alivyo ikwamisha kwa mbinu na mikakati mingi hadi nchina kakubali hasara yote ni kwa serikali ya kenya ,mbinu aliyo tumia ya kujenga sgr ya umeme ili vunja kila mpango wa sgr ya kenya
Hatari ni mchina akichukua bandari za kenya kwa sababu ya deni la sgr na mengineyo wanayo dai serikali ya kenya maana ni ukweli kuwa serikali ya kenya inakwenda kushindwa kulipa deni kama uganda mchina anataka kuchukua airportInahitajika umakini sana. Maana Tanzania ni kubwa na ina mtandao mpana wa kuzifikia nchi nyingi. Kuna amani na utulivu wa kutosha. Ni eneo la kimkakati Kwa maswala ya kilojistiki katika ukanda wa mashariki, Kati na kusini mwa Afrika. Hii tuitumie Kwa faida. La sivyo watatuumiza tu pakubwa sana.
Hapo mchina anachukua vyote sgr ambayo ni kama yake tayari bado mombasa port ambayo nayo inachukuliwa ndani ya miaka mitatu kutoka sasa ,hivyo watz inatakiwa tukimbize reli yetu mapema na bwawa la umeme ili kuvutia nchi jirani umeme wa wawekezaji wa wind na solar ni hatari kimikataba tuachane nao maana mikataba ni yakishenzi shenzi tu itakwamisha umeme kuwa nafuu hivyo kuifanya tz isiwe kivutio cha uwekezaji pia hujuma zitatoka kwa wawekezaji wa umeme kuhujumu mifumo ya serikali ili wafanye biasharaMchina alivyo inawezekana alijenga sgr akaachia katikati hili wampe mombasa port halafu anamalizia reli anaanza kuvuna pesa. By the way Jerusalem Nairobi moto mshafanikiwa kuzimu . Kweli kuna unknown place nyingi hii Jerusalem ndio sikia leo Tony254 ebu zitaje zote
Magu alishamaliza, watake wasitake JNHPP lazima iisheHapo mchina anachukua vyote sgr ambayo ni kama yake tayari bado mombasa port ambayo nayo inachukuliwa ndani ya miaka mitatu kutoka sasa ,hivyo watz inatakiwa tukimbize reli yetu mapema na bwawa la umeme ili kuvutia nchi jirani umeme wa wawekezaji wa wind na solar ni hatari kimikataba tuachane nao maana mikataba ni yakishenzi shenzi tu itakwamisha umeme kuwa nafuu hivyo kuifanya tz isiwe kivutio cha uwekezaji pia hujuma zitatoka kwa wawekezaji wa umeme kuhujumu mifumo ya serikali ili wafanye biashara





