Ili Moshi iwe jiji, inabidi ikidhi vigezo Vipi?
Yes, one city can have more than one CBD depending on how the city is planned.
CBD in full is
C- Central (Area of Focus)
B- Bussiness( Any Activity that earns money)
D- District(Location)
So in simplified terms, CBD just means an area of a city or a town that is the economic backbone (which can be more than one) of that City. For example, most cities have more than two CBDs - Administration District, Commercial District, Financial District. All these Districts are called CBDs.
Yakunya ni shombo ya brt siyo brt halisi wamejenga kanjia kadogo ili waonekane wako na brt,ili wapigie picha kuitangaza kenya, kuwa nao wana brt ni sawa sawa na kujenga SGR ya umeme yenye urefi wa km 20 kisha uje ujipige kifua
Unaishi kwenye nchi ambayo uchaguzi ukikaribia tu investors wanarudi makwao kwanza hadi uchaguzi uishe.Hawa lazima wauwane watake wasitake![]()



Kuna Ile render walikuwa wanaipost humu kila siku kuwa ndo inajengwa hapo.



Inawauma sn hii usione wamekaa kimya, kuna mbwa mmoja alikuwa anasema no pipeline, baadaye akageuza msemo eti deal itapelekwa Kunyaland, now naona keshakubali matokeo







Yaani niumie kisa takataka kama wewe uliyeenda kuedit Google maps ili uondoe slums!![]()
![]()
Mtaumia sana hizo akili zenu na bado!
Alafu Museveni apeleke pipeline huko kalogwaUnaishi kwenye nchi ambayo uchaguzi ukikaribia tu investors wanarudi makwao kwanza hadi uchaguzi uishe.
Failed state.








Yaani niumie kisa takataka kama wewe uliyeenda kuedit Google maps ili uondoe slums!
Cha kushangaza ni mwaka wa pili lakini hakuna mabadiliko yoyote!









Project za kenya bwana



ni nzuri zikiwa mpya miezi miwili tu ,wanapiga picha nyingi wanahifadhi ,kila wakiposti wanaposti zikiwa mpya kumbe vimesha choka lower quality things 



Huwa wanatumia picha za enzi ya uzinduzi, alafu ukiacha low quality infrastructures pia jamaa ni wachafu sana.Project za kenya bwanani nzuri zikiwa mpya miezi miwili tu ,wanapiga picha nyingi wanahifadhi ,kila wakiposti wanaposti zikiwa mpya kumbe vimesha choka lower quality things
![]()
Walimzomea Mu7 mwaka juzi kwenye chuo chao mojawapo.Inawauma sn hii usione wamekaa kimya, kuna mbwa mmoja alikuwa anasema no pipeline, baadaye akageuza msemo eti deal itapelekwa Kunyaland, now naona keshakubali matokeo![]()
Mu7 hawezi fanya huo ujinga.Alafu Museveni apeleke pipeline huko kalogwa![]()
Barabara Lower quality hapo aijatumika kwa mass user isha shoka mbaya sijui itakuwaje ikianza kutumika kwa wingiTatu City
![]()
![]()
![]()
Kuna infrastructures za kisasa nyingi zipo Dar na huwezi kuzipata EA na nchi zote za Afrika kando ya SA na Egypt.