Dah hii ndio ile picha iliyopigwa make up eti postcard alert 🥸
Dah hii ndio ile picha iliyopigwa make up eti postcard alert 🥸
The data you gave me ni za this year bongolala. Ama wewe ulileta tu taarifa bila kujua content yake?Kwahyo hizo picha alizopost ni za one year ago we fala 😂😂😂 hizo ni picha za zaidi ya miaka kumi iliyopita
We unazungumzia data gani we fala.? Mada hapa so ni picha alipost Coco last night au.?The data you gave me ni za this year bongolala. Ama wewe ulileta tu taarifa bila kujua content yake?
If you did literature, you could have understood why the writer was careful with his choice of words and why he used the word could add not any other wordBut that does not denounce the fact that they are still beggars.
Nyie wakenya matahira sana unabishana na mtu alieleta mpaka ushahid wa picha na videos 😂😂😂Huyo ndugu yako anapenda ubishi sana. He's ''always right''
Kumbe nadeal na zuzu who can't even remember his own words!We unazungumzia data gani we fala.? Mada hapa so ni picha alipost Coco last night au.?
Ukweli ndio hampendi kusikia, hata mkiambiwa na wenzenu. Mwishowe mnawatukana na kuwanyang'anya uraia wao. Si ni juzi (Friday) ndio mmoja wenu kasema Walker255 ni mkenya just because anaongea ukweli?Nyie wakenya matahira sana unabishana na mtu alieleta mpaka ushahid wa picha na videos 😂😂😂
Kenyans are not dunderheads like you areHii kitu unaweka hata Wakenya wenzako hawakuelewi![]()
Anhaa Owky nilichanganya madesa, sasa mzee nicxie, unataka kuamini data za nani kama official data kutoka serikalini hutaki kukubaliana nazo mzee.?Kumbe nadeal na zuzu who can't even remember his own words!
Nilileta ripoti ya WB about extreme poverty in Tanzania and you reacted with a Tweet from your government saying that poverty levels in Tanzania have reduced to something to do with 26% (can't remember the exact figure). Hiyo ilikuwa ni tweet ya this year ndio nikakuuliza inamaanisha kwamba in less than one year poverty in Tanzania has reduced by more than a half? Mambo na mipicha unajua ulikotoa and shows just how confused your are!
Mimi mwenyewe nimeishi Mwanza miaka mitatu mzee nimeondoka juzi kati tu mwezi wa nane, huyo bwenge ana chuki zake na serikali atulize kijambo, vitu anavyolalamikia mostly ni uongo, ndio yapo maeneo ya kwenye milima juu ya mawe ambayo hayajapangwa lakini kwa standard za Africa yanaridhisha lakini pia yapo maeneo ya tambarare ambayo yamepangwa vizur tu na ni maeneo mengi na yamepostiwa humu videos zaidi ya tano, kama kuona ni kuona ni kuamini kwanini na wewe usapoti ufala wake.?Ukweli ndio hampendi kusikia, hata mkiambiwa na wenzenu. Mwishowe mnawatukana na kuwanyang'anya uraia wao. Si ni juzi (Friday) ndio mmoja wenu kasema Walker255 ni mkenya just because anaongea ukweli?
Unafurahi kuona mTz akiponda nchi yake, nyie endeleeni naye mana hajiulizi mbn mtu kama ww uko hapa kusifia kila kitu cha Kenya mpaka ma slums, wizi, low quality infrastructures, hunger, etc unaateteaHuyo ndugu yako anapenda ubishi sana. He's ''always right''
















Hehehehee huyo Walker umemsahau leo!!? C ndio alikuwa anakupiga vitasa humu ndani au umesahau, wakati anakupiga vitasa ulikuwa husemi kwamba anasema ukweli ila leo ndio unamuona anasema ukweliUkweli ndio hampendi kusikia, hata mkiambiwa na wenzenu. Mwishowe mnawatukana na kuwanyang'anya uraia wao. Si ni juzi (Friday) ndio mmoja wenu kasema Walker255 ni mkenya just because anaongea ukweli?








Nakuuliza wewe c Walker255 alikuwa anakupiga vitasa humu mpk ukawa unalia au sio wewe mzee wa ghorofaKenyans are not dunderheads like you are





ww usikae kuropoka kwa vitu usivovijua hakuna kitu utanidanganya ww kuhusu mwanza mzee hilo nakwambia kindakindaki piga picha na mm december ntakua huko alaf ntafurumusha picha kama zote 🤣🤣🤣 alaf tuone basiHata kama ungekuwa unajua hadi chini ya ziwa Victoria kukoje, hutaweza kukataa the fact kuwa Mwanza haina mpangilio. Watu wanajenga kila mahali na sasa everything is just a mess. Siku nitaenda Mwanza nipige picha mwenyewe.
ww usikae kuropoka kwa vitu usivovijua hakuna kitu utanidanganya ww kuhusu mwanza mzee hilo nakwambia kindakindaki piga picha na mm december ntakua huko alaf ntafurumusha picha kama zotealaf tuone basi
nimekupa mfano wa bwiru tu ushaanza kulialia wewe vp mzee umekuaje ???![]()








yani zimbabwe iwe ina afadhali kuliko kenya mulioanza kujenga nchi toka 60s mpaka leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ugumu wa maisha inapatikana hapa bongolala
View attachment 2025806
Mbona mnapenda kujifanya na kwa ground vitu ni different?