Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ss hivi wimbo umebadilika, kila baya linalotokea anasingiziwa marehemu kwamba alijenga ukuta kwamba ukuta ndiyo umeleta wezi yn ajenge ukuta alafu aamke aje kukamata wezi

Umeme kukatika analaumiwa kwamba alijenga bwawa, kwamba alikata miti mingi sasa mvua hazinyeshi na kwamba alikosea kujenga bwawa ilibidi kuwekeza kwenye gesi as if miaka yote tulikuwa tunategemea umeme wa gesi, au utadhani wangeweza kuhimili umeme wa gesi.


Machinga kushamiri analaumiwa analaumiwa kwamba aliruhusu Machinga kanakwamba tatizo limeanza baada ya yeye kuingia madarakani.

Afrika hatukupaswa kuwa na multi party system, bado njaa na uroho wa madaraka vinasumbua watu, yn watu wako radhi kuongopa mradi tu wapate mtaji wa kisiasa. Multi party system ilifaa ije kizazi cha 100 kutoka hiki chetu cha njaa.
Hii nchi sasa hivi imejaa wakora watupu,Ila watu huku mtaani Wana hasira na mama!
 
Wazee wakurebase kila baada ya Muda mfupi.Mimi hua nashangaa Sana Kenya amezidiwa na Tz in terms of credit lakini GDP yake kubwa.GDP yao haireflect ukubwa huo.Kitu pekee wamebaki nacho ni udalali sugu
Tena unajiskia mzee, credit gani hyoemu nenda ukajifunze kuandika kingereza kwanza wala sio kuja hapa na kuandika maneno usiyoyajua maana..
We unajua GDP ni nini
 

Jambojet puts off plan to resume direct Entebbe, Kigali flights​

FRIDAY NOVEMBER 12 2021
jambojet

A Jambojet plane at the Kisumu International Airport. PHOTO | TONNY OMONDI | NMG

By BONFACE OTIENO
More by this Author

SUMMARY​

  • Jambojet managing director Ndegwa Karanja said with the stringent Covid-19 travel regulations in the two East African nations, the carrier does not have plans to resume flights in those destinations soon.
  • Uganda demands that all passengers going to Entebbe must take a second PCR test upon arrival, regardless of vaccination status except children under six years and airline crew.
  • Jambojet has been on an expansion spree and recently expanded its flights to Goma in the eastern Democratic Republic of Congo, as it seeks expansion in the vast central African country.



Jambojet has put on hold plans to restart direct flights to Entebbe and Kigali due to strict Covid-19 containment measures, which have reduced demand on the route.

Jambojet managing director Ndegwa Karanja said with the stringent Covid-19 travel regulations in the two East African nations, the carrier does not have plans to resume flights in those destinations soon as demand for air travel has also dropped.

Uganda demands that all passengers going to Entebbe must take a second PCR test upon arrival, regardless of vaccination status except children under six years and airline crew.

Tests cost $30 (Sh3, 352) and are conducted at the airport, implying that travellers will have to incur additional costs to enter the country.

“We may not want to go in markets full of travel restrictions such as Entebbe and Rwanda any time soon. The two nations are still implementing tough Covid-19 travel restrictions,” Mr Ndegwa told the Business Daily during an interview yesterday.

The Government of Rwanda however demands that if you test positive for Covid-19 upon arrival or during your time in Rwanda even if you are fully vaccinated, the severity of your symptoms will determine whether you are isolated in a government-run treatment center or a hotel at your own cost.


“The tough travel restrictions in the two countries have seen demand for air travel drops. Our sister airline is reducing its frequency on the routes,” said Mr Ndegwa.

Kenya Airways (KQ) in July cut the number of flights from 12 a week to nine citing low loads on the route as passengers keep off the route.

Uganda is one of the key routes for KQ with the most frequencies within the region and low demand is set to impact the carrier’s earnings.

Jambojet has been on an expansion spree and recently expanded its flights to Goma in the eastern Democratic Republic of Congo, as it seeks expansion in the vast central African country.

botieno@ke.nationmedia.com

 
Kama ni hivyo unakubaliana kwamba kenya kuna watu wanakufa njaa while there's no cases like that in Tz, then ni wapi Kati ya tz na Kunya, kuna extreme poverty .? Je huoni hizo data za WB ni uongo.?
Kwhyo zile data za umaskini kule WB mlizipeleka wenywe alafu bado mnazipinga
 
Sisi ndio nchi ya Africa pekee yenye watu wenye akili timamu, na ndio maana hutaskia vita au ujinga wowote kama ambavyo nchi zote za Africa hufanya, hao wazungu wenyewe wanalijua hilo, na ndio maana huku biashara za hovyo kama hiyo SGR, lamu port na Express way hazitikei huku kwasababu wazungu wanajua kwamba sisi tuko na mentality ya kujitegemea wenyewe tangu kitambo.. skiliza hapa history ya Magufuli ili ujue sisi ni akina nani hapa AFRICA . Naongea na wewe Nicxie
Km mna akili basi mbona flyover ya kwanza mlipewa donation
 
Back
Top Bottom