Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ina Resources zote ambazo directly zinahusiana na harakati za Elon Musk.

Wafanye tu mpango wakumtongoza huyu mwamba ili kama akiwa na mpango wa kuwekeza Africa basi Tanzania 🇹🇿 Iwe kipaumbele kwake.
huu mgodi mama awe mjanja bas.. awaite hao investors wajenge viwanda hukuhuku.. wasiruhusu resources kwenda nje
View attachment 2016513
 
Tanzania ina Resources zote ambazo directly zinahusiana na harakati za Elon Musk.

Wafanye tu mpango wakumtongoza huyu mwamba ili kama akiwa na mpango wa kuwekeza Africa basi Tanzania Iwe kipaumbele kwake.
Na hana ujanja mkuu lazima anase tu.
 
Una mihemko ya kijinga sana,acha ushamba huo,jukwaa la siasa lipo nenda huko,hapa apahusiani na siasa zenu
Wewe ni mpuuzi aliye uliza mambo ya umeme wa gesi ukumuambia kuwa ili siyo jukwaa la hivyo ...mimi niliye mjibu unanishutumu kuwa siyo jukwaa la siasa ,
 
ubaya ni nn ujue? ubaya ni masoud nae kaona haya mambo kwenye huu utawala wa sasa.. yey nae kaona ni ‘walewale’

kipindi cha jpm, jamaa alikuwa anamchora komwe kubwa tu
Nimesema hapa miaka mingi kuwa Masoud ni genius, basi tuu watanzania hatuna utamaduni wa kuwaenzi watu wenye akili.

Lile bichwa alilokuwa anamchora Magu, alipolalamika hadharani akaliongeza zaidi, ikabidi Magu anywee tuu, alijuwa ni utani. Ila hapa kwa mama utaona hatanii, anatuma ujumbe.
 
C ndo nashangaa, hii nchi kuna watu wanaakili sn
Mgao ni kweli jomba sema walikuwa nanakata kwa masaa machache machache ili kutudanganya kuwa ni maintenence ila baada ya kutangaza rasmi sasa ni mgao wa masaa 12 au 8 kwa siku ya mgao ,kabla ya hapo walikuwa wanafanya mzunguko wa haraka yaani kwa siku unaweza kukatwa masaa mawili kisha wanawasha na kukata tena masaa mawili walifanya hivyo kuficha tatizo
 
Bashe ana akili nyingi, hata u president ungemfaa huko mbeleni sema origin yake inamuangusha.
Basi tuu roho mbaya za baadhi ya watu, mtu babu yake alihamia Tanganyika miaka ya 1920's huko, kwa nini wamuwekee kauzibe? Sheria za nchi zinasema kama ulikuwa kwenye ardhi ya Tanganyika midnight 9/12/1961 wewe ni raia, hivyo automatically baba yake na yeye ni raia wa kuzaliwa.
 
Wakuu haya mambo ya umeme kukatika na maji kutokuwepo naanza kuhisi huenda ni propaganda za kisiasa tu, mbn sioni huo mgao? Au utakuja soon mana mm naona kawaida tu, umeme unakatika mara chache sana per week, au mm cjaelewa hapa? Hebu nielewesheni huko kwenu vipi.
Mkuu njoo huku Tabora ndo utajua mgawo upo.
 
muache porojo,
80% of kenya data zenu haziendani na uhalisia kimaisha

mpo na cooked data za kutosha
Wazee wakurebase kila baada ya Muda mfupi.Mimi hua nashangaa Sana Kenya amezidiwa na Tz in terms of credit lakini GDP yake kubwa.GDP yao haireflect ukubwa huo.Kitu pekee wamebaki nacho ni udalali sugu😀😀😀
 
Back
Top Bottom