Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tupe picha za close view tuone [emoji846]
Weiye huijui DSM hata robo[emoji846]
Wanaweka picha zilizopigwa umbali wa mile 10,000 kutoka usawa wa bahari ili nyumba zionekane zimebanana zen waseme na cc kwetu kuna Slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii Kibera ni overrated tu, Kenya kuna maslums makubwa yanayo accomodate more than 2.5mil Slum dwellers wanaoishi pale Kibera[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2019374
My point was ulinganishe Baba Dogo 'slum' na hizo uswazi zenu uone ni wapi afadhali
 
Wanaweka picha zilizopigwa umbali wa mile 10,000 kutoka usawa wa bahari ili nyumba zionekane zimebanana zen waseme na cc kwetu kuna Slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa mnenguaji siku zote ukiambiea nyeusi ni nyekundu si unakubali, mataga katika ubora wake mwenywe
 
Eti Dar hakuna wapiga picha? 😂 😂
That sums it up!
Ndio hivyo tena, lakini kama ingalikua tunapiga picha mpya mara kwa mara ningekushangaza
Some of these places You call slums can qualify as upper middle class in Dar.

This is Baba Dog "slum''
View attachment 2019292

Now compare that with these middle class areas of Dar
View attachment 2019293View attachment 2019294View attachment 2019295
😂😂😂☝️Huwa Nacheka sana, naona mmeanza kuhalalisha sasa kwamba eti humu ndio wanaishi middle class wa Dar es Salaam 😂😂, hayo maeneo ndio makazi ya maskin wa dar es salaam, ambapo sikuhiz yamepungua mnoo .. na ndio maana huwa nakwambia maskini wa NAIROBI akifika dar anakua fukara wa kutupa
 
3008638_IMG-20211121-WA0077.jpg
 
Back
Top Bottom