Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MY friend na sio kwa ubaya, ni vile tu nyie wa tz mnapenda sana ubishi ..lakini kwa kusema kweli...kenya ni nchi imeendelea saaana hapa afrika...saana..
Labda kwakununua ile mitumba ya trains
JamiiForums-1277000846.jpg
 
Hayo maeneo muhimu wanahusisha na ndio maana hawakukubaliana ya taarifa ya serikali yenu kuhusu ukuaji wenu wa uchumi mliyopika 2019

Niambie ni wapi IMF ama WB disputed figures presented by the government of Kenya
hiyo link haisaidii kitu,anayejua maisha halisi ya watu wake ni mwenye nchi,hao WB sijui na IMF ni virutubisho tu wanapima vitu kwa nadharia tu kwa kukisia mambo,hatutegemei data ambazo hata wewe unaweza kuandaa data zako,kama jinsi mlivyojisambazia mitandaoni kuwa mlima kilimanjaro upo kenya na baadhi ya foreigner waliamini hilo,
kwa ground hamna kitu reality yenu tunaijua ni bure kabisa.

wewe nimiongoni wa watu mnaoitwa nyani,kwa kuwa mlifanyiwa tafiti na mkamezeshwa na mkaamini kuwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani
 
huo ni upuuzi,hiyo si freedom of media mzee,sheria zipo huo ni uzalilishaji tena kwa raisii wa nchi
Yanaiga US, haya majitu ni majinga sn, yanaiga kila kitu from western countries tatizo kila yanachoiga yanaishia kujidhalilisha tu.
 
hiyo link haisaidii kitu,anayejua maisha halisi ya watu wake ni mwenye nchi,hao WB sijui na IMF ni virutubisho tu wanapima vitu kwa nadharia tu kwa kukisia mambo,hatutegemei data ambazo hata wewe unaweza kuandaa data zako,kama jinsi mlivyojisambazia mitandaoni kuwa mlima kilimanjaro upo kenya na baadhi ya foreigner waliamini hilo,
kwa ground hamna kitu reality yenu tunaijua ni bure kabisa.

wewe nimiongoni wa watu mnaoitwa nyani,kwa kuwa mlifanyiwa tafiti na mkamezeshwa na mkaamini kuwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani
You are being bitter and salty for nothing na pia unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga. Kwa hivyo WB na IMF wanatumia tu nadharia kutengeneza data zao? Hivi, wewe umesoma had kiwango gani cha elimu? Kuna uwezekano najadiliana na mwehu.
 
Hayo maeneo muhimu wanahusisha na ndio maana hawakukubaliana ya taarifa ya serikali yenu kuhusu ukuaji wenu wa uchumi mliyopika 2019

Niambie ni wapi IMF ama WB disputed figures presented by the government of Kenya
Wacha kuwa mjingaaa....siyo IMF walio wambia mnaweka pesa yenu fixed against usd?...nikichwa yako tu ndio kubwa akili huna
 
Hakuna maji hakuna stima. Mateso kweli kweli.

Sea Cliff naifahamu nimewahi kuhudumiwa pale, ni mzaha mkubwa sana kwa hoteli yenye hadhi hiyo kukosa maji, hainiingii akilini, hawa jamaa uzembe wao huwakwamisha sana.
 
ECONOMISTS IN TANZANIA ARE EXCITED FOLLOWING SIGNIFICANT INCREASE IN THE COUNTRY'S FOREIGN RESERVES

EMMANUEL ABARA BENSON
November 19, 2021 10:32 AM

Economists in Tanzania are excited following significant increase in the country's foreign reserves
Economists in Tanzania are excited following significant increase in the country's foreign reserves
The significant increase was due to export diversification.
Increased exportation of rice, maize, beans, vegetables, etc., helped to cushion the effect of COVID on the country's tourism sector.

Meanwhile, Tanzania has been advised to consider taking advantage of the foreign reserves boom to offset its external debts.
The Bank of Tanzania (BoT) said in its latest monthly economic review that foreign reserves jumped to $6.7 billion up from $4.9 billion in September, marking a historic high for the East African country.

Apparently, the significant increase was due to export diversification. The BoT report, a copy of which was seen by Business Insider Africa, explained that there was increased exportation of some food items including rice, maize, beans and vegetables. This was in addition to the exportation of minerals, finished products and others.

"Export of rice, in particular, amounted to 303,4 million US Dollars compared with 97,4 million US Dollars, reflecting efforts made to improve cross-border trade...The increase was observed in all import categories, except fertilisers," the BoT said.

These exports helped to cushion the adverse effects which the Coronavirus pandemic had on the country's tourism sector.

READ: Tanzania’s exports to Kenya set to exceed $200 million in 2021

It should also be noted that the increase recorded in Tanzania's foreign reserves was despite the high forex demand for imports during the period under review. For instance, there was an 18.3% increase in oil imports to $1.7 billion due to price increase. And this accounted for a significant portion of the import bill.

Meanwhile, in reaction to the good news, some Tanzanian economists have expressed both excitement and optimism over the country's economic prospects going forward. One of these economists is Dr Hildebrand Shayo. He recommended that Tanzania should consider paying off its external debt now, making adequate use of the increase in foreign reserves. He also recommended how to ensure future increases.

"To ensure these reserves increase further in future, there is a need for the country to maintain exports competitive prices but more important to continue to be firm on building confidence for investors."

Ahmed Nganya, a manager at Vertex International Securities, said the increase in foreign reserves, coupled with the fact that Tanzania attracted $2.9 billion worth of Foreign Direct Investments (FDIs) between March and August this year, all point to the Tanzanian economy is poised for future growth.

View attachment 2017177
Foreign reserves za kitoto. Mbona sisi tuna foreign reserves kubwa kuwashinda na haturingi. Wacheni ushamba bana.
 
we nawe ni kunguni kabisa,kila kitu kinachoendelea ni uzembe mama yako hawezi kumanage mambo muhimu na hao watu anaowateua ndiyo kabisa hamna kitu,

Tz haina ukame kiasi hicho useme watu wakakosa umeme na maji hovyo hovyo,kwani hata kipindi cha nyuma kuna joto lilipiga zaidi ya ya hiki kipindi,ila maji na umeme haikuwa kero kama sasa hivi,

mama yako anakuja na reason za kizembe eti watu wamechepusha maji hiyo ndiyo sababu, acheni upuuzi serikali yetu ni mbovu hamna kitu,CCM hamna kitu ni kufanya kazi kimazoea na kubebama tu,acha utopolo
Jibu hoja kwa nini hamkuweka umeme wa dharura in case of ukame kama saizi? Kwa hiyo hiyo ndio crisis management ya Jiwe?

Wewe kwa akili yako mbovu kama hakuna ukame kilichopelekea maji kupungua kwenye mabwawa ni nini?

Mama sio kiazi kama yule wenu,Kazi inafanyika hivi 👇

Screenshot_20211119-151221.png
 
Ss hivi wimbo umebadilika, kila baya linalotokea anasingiziwa marehemu kwamba alijenga ukuta kwamba ukuta ndiyo umeleta wezi yn ajenge ukuta alafu aamke aje kukamata wezi

Umeme kukatika analaumiwa kwamba alijenga bwawa, kwamba alikata miti mingi sasa mvua hazinyeshi na kwamba alikosea kujenga bwawa ilibidi kuwekeza kwenye gesi as if miaka yote tulikuwa tunategemea umeme wa gesi, au utadhani wangeweza kuhimili umeme wa gesi.

Machinga kushamiri analaumiwa analaumiwa kwamba aliruhusu Machinga kanakwamba tatizo limeanza baada ya yeye kuingia madarakani.

Afrika hatukupaswa kuwa na multi party system, bado njaa na uroho wa madaraka vinasumbua watu, yn watu wako radhi kuongopa mradi tu wapate mtaji wa kisiasa. Multi party system ilifaa ije kizazi cha 100 kutoka hiki chetu cha njaa.
Sio kusingiziwa,ndio ukweli Kwani uongo,waharibifu wa mazingira aliwayetea,machinga akasemw waachwe,wavuvi haramu akamtimua Waziri ,madeni kila sehemu huku anadanganya, kwenye umeme alikuwa busy na stiglaz huku alishindwa kuandaa buckup in case of emergency..Shujaa mjinga asiye na maarifa.

MKapa na JK walishatutoa kwenye madeni ila Ona hujaa mkurupukaji alikoipeleka nchi 👇

Screenshot_20211113-134557.png

Screenshot_20211113-134649.png
 
You are being bitter and salty for nothing na pia unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga. Kwa hivyo WB na IMF wanatumia tu nadharia kutengeneza data zao? Hivi, wewe umesoma had kiwango gani cha elimu? Kuna uwezekano najadiliana na mwehu.
uwe unaelewa unachosoma ,usiwe unasoma vitu kama kasuku,

umevimbe upasuke uhalisia maisha yenh ni ya ukunguni tu
hamna jipya
 
Sea Cliff naifahamu nimewahi kuhudumiwa pale, ni mzaha mkubwa sana kwa hoteli yenye hadhi hiyo kukosa maji, hainiingii akilini, hawa jamaa uzembe wao huwakwamisha sana.
Onesha sehemu waliposema hakuna maji.

Wakenya hamna akili
 
Jibu hoja kwa nini hamkuweka umeme wa dharura in case of ukame kama saizi? Kwa hiyo hiyo ndio crisis management ya Jiwe?

Wewe kwa akili yako mbovu kama hakuna ukame kilichopelekea maji kupungua kwenye mabwawa ni nini?

Mama sio kiazi kama yule wenu,Kazi inafanyika hivi

View attachment 2017236
acha upimbi
kwani kwenye hii nchi Rais alikuwa ni magufuli peke yake?

hizi mambo za kukatika katika kwa umeme hovyo tulishazisahau haya mambo yalikuwa enzi za kikwete,
kwa kuwa kikwete amekuja kuongoza nchi kivingine tutegemee mengi tu kutokea na wewe kama panya utakuwa ni shahidi namba moja kushuhudia na kunasa kwenye mtego wenye nyama,picha ndiyo kwanza limeanza kila kiongozi anamapungufu yake hivyo kuna mazuri na mabaya siyo unakuja hapa kusifia mambo kitoto
 
Back
Top Bottom