Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
JF haikusaidii wewe kuijua Dar yote mdogo angu since wapiga picha mpya wenyewe hakuna hapa DSMUafikiri tulijiunga JF jana?
JF haikusaidii wewe kuijua Dar yote mdogo angu since wapiga picha mpya wenyewe hakuna hapa DSMUafikiri tulijiunga JF jana?
Sasa tangu lini office buildings yakawa makazi ya watu? Nauliza hivyo coz nyingi za picha ulizoweka ni office buildingsView attachment 2019117iyo picha hapo juu imepigwa kutokea makumbusho kuelekea Moroko, by the way hayo majengo marefu hapo chini Sky tower, melenium towers, Victoria noble center, Victoria palace, treasure Victoria apartments tin tower na mengine mengi kama yanyoonekana kwenye picha hapo(yapo mtaa wa makumbusho), nyuma ya majengo ya kulia neerby Sky tower panafanana hivi 👇View attachment 2019076
Nyuma ya majengo ya kushoto (melenium tower) huo mtaa unaitwa mikocheni panafanana hivi 👇 View attachment 2019078View attachment 2019080View attachment 2019081View attachment 2019083View attachment 2019084View attachment 2019086au umeona slum hapo ...? And my mind you haya ni makazi ya watu wa kawaida tu .. alafu eti ndio ulinganishe na huu uchafu 👇View attachment 2019087ni kichaa pekee ndio anaweza kuwaelewa .. tukisema hapo ni up coming CBD hatukosei.. ngoja nikuletee kwa ukaribu majengo ya biashara/HQs yanayopatikana hapo kwa hiyo road ambayo labda huwezi kuyaona vizuri kwenye hizi picha 👇View attachment 2019097View attachment 2019098View attachment 2019099View attachment 2019100View attachment 2019110View attachment 2019113View attachment 2019114alafu eti kweli mnakuja kutukosea adabu na huo mtaa ulio empty .?
Naongea na wewe Nicxie
Makumbusho ndo ifanane na hiiHii place ndio wao hufananisha sijui na makumbusho slumView attachment 2019036





Yani London ifanane na Nairobiacha upuuz..usirudie tena kuilinganisha na huo uchafu wenuView attachment 2019050
View attachment 2019051




Pembeni kdg tu ya hzo picha za upande upande kuna maslums ya kufa mtu, yn Kenya nzima ni ma slums kushoto kulia



















Hilo ni eneo ambalo linaendelea(developing area) Tz hasa Dar es Salaam hakuna mapori, Ili ujenge ni lazima uvunje nyumba ya zamani ndio ujenge nyumba mpya (gorofa) .. huo upande ambao haujaendelea sana ndio unaojengwa sana kwa kasi .. and that's why mtu wa kawaida ni ngumu kujenga mjini kati, kinachoendelea ni kwamba watu wenye hela nyingi hununua nyumba za zamani na kujenga ima ni hotel au office buildings.. kwa mfano Magomeni, Manzese, Kinondoni, Sinza haya maeneo miaka mitano tu nyuma yalikua yamejaa unplanned settlements lakini kwasasa kuna gorofa nyingi tu zilizohengwa na zinazoendelea kujengwa kila siku, ni vile tu Dar hakuna wapiga picha, ningekuonyesha.. nakuibia siri kidogo umeona nyumba nyingi Dar ambazo zimekaa hovyo hovyo mnazotubeza nazo kila siku, ni Nyumba za urithi tu (zilijengwa zamani), siku hizi ni biashara, zinauzwa pesa ndefu kwa wanaokuja kuendeleza hayo maeneo halaf waliokuwa wakimiliki hukimbilia huko remote areas kujenga nyumba zao..Sasa tangu lini office buildings yakawa makazi ya watu? Nauliza hivyo coz nyingi za picha ulizoweka ni office buildings
Kwani saivi bei ya umeme Kenya ni kubwa mara ngapi ya Tanzania?Wivuuu, by 2022 Tanzania itakua inazalisha 5000MW umeme wa maji, Bei ya unit Moja itakua ni ndogo mara mbili ya Kenya, lazima viwanda vyenu vitashindwa kupambana kibiashara
2015 mpaka 2016 ni miaka 6? We mzee takataka kweli na mimba inabebwa kwa muda gani? Hayo maneno Magufuli aliyaongea 2018, clip zipowacha ushabiki nawe toka 2015 mpaka 2016 ni miaka 6 mtoto anaanza la kwanza!
View attachment 2019117iyo picha hapo juu imepigwa kutokea makumbusho kuelekea Moroko, by the way hayo majengo marefu hapo chini Sky tower, melenium towers, Victoria noble center, Victoria palace, treasure Victoria apartments tin tower na mengine mengi kama yanyoonekana kwenye picha hapo(yapo mtaa wa makumbusho), nyuma ya majengo ya kulia neerby Sky tower panafanana hiviView attachment 2019076
Nyuma ya majengo ya kushoto (melenium tower) huo mtaa unaitwa mikocheni panafanana hiviView attachment 2019078View attachment 2019080View attachment 2019081View attachment 2019083View attachment 2019084View attachment 2019086au umeona slum hapo ...? And my mind you haya ni makazi ya watu wa kawaida tu .. alafu eti ndio ulinganishe na huu uchafu
View attachment 2019087ni kichaa pekee ndio anaweza kuwaelewa .. tukisema hapo ni up coming CBD hatukosei.. ngoja nikuletee kwa ukaribu majengo ya biashara/HQs yanayopatikana hapo kwa hiyo road ambayo labda huwezi kuyaona vizuri kwenye hizi picha
View attachment 2019097View attachment 2019098View attachment 2019099View attachment 2019100View attachment 2019110View attachment 2019113View attachment 2019114alafu eti kweli mnakuja kutukosea adabu na huo mtaa ulio empty .?
Naongea na wewe Nicxie
Hii Bandari masharti ya mkataba yakiwa mazuri italeta faida kubwa.Now wameshaanza na mpango wa kujenga Bandari Mpya,
Tanzania tumempoteza mtu mwerevu na jasiri sana... Hiyo Gharama ya Kujenga Bandari Mpya wangewekeza kwenye Bandari zilizopo, na kuunda Industrial Parks tungekuwa Mbali.
Tanga ndio Mji wa Kwanza Tanzania kuwa Halmashauri, na Wajerumani waliiona Tanga Kama Strategic Area kuliko Hata Dar, Bandari ya Tanga ina potential Kubwa sana
Eti Dar hakuna wapiga picha? 😂 😂Hilo ni eneo ambalo linaendelea(developing area) Tz hasa Dar es Salaam hakuna mapori, Ili ujenge ni lazima uvunje nyumba ya zamani ndio ujenge nyumba mpya (gorofa) .. huo upande ambao haujaendelea sana ndio unaojengwa sana kwa kasi .. and that's why mtu wa kawaida ni ngumu kujenga mjini kati, kinachoendelea ni kwamba watu wenye hela nyingi hununua nyumba za zamani na kujenga ima ni hotel au office buildings.. kwa mfano Magomeni, Manzese, Kinondoni, Sinza haya maeneo miaka mitano tu nyuma yalikua yamejaa unplanned settlements lakini kwasasa kuna gorofa nyingi tu zilizohengwa na zinazoendelea kujengwa kila siku, ni vile tu Dar hakuna wapiga picha, ningekuonyesha.. nakuibia siri kidogo umeona nyumba nyingi Dar ambazo zimekaa hovyo hovyo mnazotubeza nazo kila siku, ni Nyumba za urithi tu (zilijengwa zamani), siku hizi ni biashara, zinauzwa pesa ndefu kwa wanaokuja kuendeleza hayo maeneo halaf waliokuwa wakimiliki hukimbilia huko remote areas kujenga nyumba zao..