Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi kwanza hatuna hata kawaida ya kuongopa mzee, hata madudu yanayotokea nchini mwetu tunayajadili humu ndani na wote mnaona, ukiona kitu tumeshkilia bango na kukipinga vikali ujue huo ni uongo (hicho kitu ni cha kutengeneza/taarifa zisizo na uhakika), sasa sio watu wa kujikweza babu hujatuelewa tu bado.? Nicxie
Kwa hivyo watanzania wamekuwa watch dogs na whistle-blowers wa mashirika Kama WB na IMF? 😂 😂
Kwamba taarifa yoyote WB ama IMF wanatoa ni lazima watanzania wakubaliane nayo ndio iwe ukweli? Wakiipinga ni lazima ikataliwe na mataifa mengine? Sasa wewe na wenzako hapo Mwananyamala na Gongo la Mboto mkishasema taarifa ya WB na IMF ni uwongo that's final! Kisa na maana eti Kenya imewekwa mbele yenu? Meza wembe ufe!
 
Sisi kwanza hatuna hata kawaida ya kuongopa mzee, hata madudu yanayotokea nchini mwetu tunayajadili humu ndani na wote mnaona, ukiona kitu tumeshkilia bango na kukipinga vikali ujue huo ni uongo (hicho kitu ni cha kutengeneza/taarifa zisizo na uhakika), sasa sio watu wa kujikweza babu hujatuelewa tu bado.? Nicxie
Kwa hivyo watanzania wamekuwa watch dogs na whistle-blowers wa mashirika Kama WB na IMF? 😂 😂
Kwamba taarifa yoyote WB ama IMF wanatoa ni lazima watanzania wakubaliane nayo ndio iwe ukweli? Wakiipinga ni lazima ikataliwe na mataifa mengine? Sasa wewe na wenzako hapo Mwananyamala na Gongo la Mboto mkishasema taarifa ya WB na IMF ni uwongo that's final! Kisa na maana eti Kenya kawekwa mbele yenu? Meza wembe ufe!
 
Nyie c mnawaiga wazungu, mnasahau kwamba Africa tuna tamaduni zetu, ss hapo unashabikia nn kama co ujinga huo.


Wakenya hamna akili
Wewe ni mdanganyika taga mjinga sana
Screenshot_20211120-081701.jpg
 
Hebu tuambie kati ya KQ (shirika la wazungu na Mama Ngina family) na Atcl (shirika lilioanza juzi tu) lipi linalooneka kuendeshwa kwa weledi?

Tangu kuanzishwa kwa kq haijawahi ku make profit hata cku moja zaidi ya kula pesa za tax payers.

Wakenya hamna akili
Endelea kuropokwa lakino ujue wewe ni taga muongo
Screenshot_20211120-081701.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20211120-060007.jpg
    Screenshot_20211120-060007.jpg
    75.7 KB · Views: 21
Kwa hivyo si wewe umesema watanzania wana akili na kwamba sio watu wa kuathirika na mipaka walioweka wazungu? IMF kusema hampo tena LDC huoni kama ni mipaka? Na mbona mlikubaliana na hiyo taarifa yao? Mbona hamkujifanyia uamuzi nyinyi wenyewe kama Tanzania na kusema hampo LDC now that nyinyi si watu wa kuwekewa mipaka? Hiyo elimu yenu iko wapi kama bado mnategemea data za wazungu mnaowabeza on another hand?
They only agree with the white man when he favors them.🤣🤣
 
View attachment 2017054
I once said in here,there is something fishy going on at Mererani,naona imekuwa kweli
Ss hivi wimbo umebadilika, kila baya linalotokea anasingiziwa marehemu kwamba alijenga ukuta kwamba ukuta ndiyo umeleta wezi yn ajenge ukuta alafu aamke aje kukamata wezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umeme kukatika analaumiwa kwamba alijenga bwawa, kwamba alikata miti mingi sasa mvua hazinyeshi na kwamba alikosea kujenga bwawa ilibidi kuwekeza kwenye gesi as if miaka yote tulikuwa tunategemea umeme wa gesi, au utadhani wangeweza kuhimili umeme wa gesi.


Machinga kushamiri analaumiwa analaumiwa kwamba aliruhusu Machinga kanakwamba tatizo limeanza baada ya yeye kuingia madarakani.

Afrika hatukupaswa kuwa na multi party system, bado njaa na uroho wa madaraka vinasumbua watu, yn watu wako radhi kuongopa mradi tu wapate mtaji wa kisiasa. Multi party system ilifaa ije kizazi cha 100 kutoka hiki chetu cha njaa.
 
Nasema ukweli, nilipo umeme upo 24 hours wala haukatiki.
Na nipo kwenye moja ya jiji tena mjini kabisa.
Labda ni baadhi ya sehemu ndo kuna matatizo ya umeme kukatika ovyo.

Mgao ni kweli mzee hasikuambiee mtuu mpaka serikali inatoa taarifa rasmi bado uamin Nenda mikoani huko ndio utaipata vizurii
 
Mambo yamepamba moto [emoji91][emoji91] aisee, kila siku wanazindua safari, kweli wameamua, ss tutaona abiria watapanda mikweche au brand new planes.
Moja ya comment ya raia wa Zambia.

"Karibu Sana Hapa Ndola Before Tulikua Tukipitia Nairobi Kenya Ili Kufika Tanzania.. How Much It Cost From Ndola To Darisam"

Unadhani wapika data wanapenda namna ATCL inavyo jitanua! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja ya comment ya raia wa Zambia.

"Karibu Sana Hapa Ndola Before Tulikua Tukipitia Nairobi Kenya Ili Kufika Tanzania.. How Much It Cost From Ndola To Darisam"

Unadhani wapika data wanapenda namna ATCL inavyo jitanua! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mtu aache kupanda a220 au dreamliner au the upcoming Max apande mikweche uliona wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom