Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee wakurebase kila baada ya Muda mfupi.Mimi hua nashangaa Sana Kenya amezidiwa na Tz in terms of credit lakini GDP yake kubwa.GDP yao haireflect ukubwa huo.Kitu pekee wamebaki nacho ni udalali sugu
wakenya ni vituko
 
Tanzania ina Resources zote ambazo directly zinahusiana na harakati za Elon Musk.

Wafanye tu mpango wakumtongoza huyu mwamba ili kama akiwa na mpango wa kuwekeza Africa basi Tanzania 🇹🇿 Iwe kipaumbele kwake.
Niliwahi kusikia mahali akisema kuhusu nchi moja ya Amerika ya Kusini kuwa, " hata kama inchi hiyo itapinduliwa ili yeye apate madini ya betri zake haina shida".
 
Wewe ni mpuuzi aliye uliza mambo ya umeme wa gesi ukumuambia kuwa ili siyo jukwaa la hivyo ...mimi niliye mjibu unanishutumu kuwa siyo jukwaa la siasa ,
Looks ww ndio mpuuzi coz unatanguliza matusi kwangu while hamna nilipokutukana,unadhani humu kila mtu angeanza kutukana au kuongelea siasa huucuzi wa kuzuka wewe wala usingeukuta,watu tuko kwenye huu uzi since day 1 annael anauanzisha binafsi sijawahi kuitwa mpuuzi sijui mpumbavu,tunaheshimiana humu na kuna watu kupitia uzi huu tumekua marafiki hadi nje ya jf,but wewe ukija na siasa zako na yule mwenzako mtu akikuweka sawa utamuita kila jina la ajabu na matusi juu,imagine kila mtu angekua na hulka kama wewe pangekua vipi humu,badilika mzee
 
sasa unadhani wanapataje data bila kupata vyanzo vya data kutoka nchi husika?

acha upimbi
Kitu hamuelewi ni kwamba hayo mashirika mawili do their own analysis of the figures they get from the respective countries to ascertain the correctness of that data before publishing them ndio maana data wanazotoa ni vigumu kupata mtu anazipinga (save for Tanzanians of course ).

IMF or WB don't just wake up one morning and publish data from Kenya or Tanzania or any other country without doing due diligence first. Experts from IMF or WB must first do a review of their own forecast data and compare them with those of the government. Wakipata kuna udanganyifu mahali watakataa hiyo data jinsi IMF walivyofanya kuhusu taarifa propagandist wenu Magufuli alitoa kuhusu ukuaji wenu wa uchumi in 2019. The below articles talk about it in depth.



About cooking data, You now know which one between these two countries cooks her data.

Endeleeni kupiga kelele na kukataa kila aina ya data huku mkiendelea kusoma number yetu
 
Back
Top Bottom