The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Asante kwa kukubali kwamba serikali ya Kenya haina pesa ndio maana majolity wanakufa kwa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ni Tanzania pekee inayotoa chakula hii Dunia? Hivi nikiwa na pesa nitakosa pa kununua chakula kisa Tanzania imekataa kuniuzia chakula? Mbona unafikiria kama mburukenge?[emoji1787][emoji1787]