Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hiyo ndiyo tofauti ambayo huwa tunabishana nao wakenya,huwa wanajifanya kuwa wanamtandao mkubwa wa rami,Kukiwa na maana hakuna sehemu ya kusafiri masaa 96 kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine.
Basi bhana kutoka Isiolo hadi mandera watu wanatumia masaa 96 njiani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena km 740 tu!
vitu vyao ni fake fake tu on paper