Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa nini mkuu Lwiva
Hiyo fukwe haikuwa chafu hivyo miaka ya 90 tazama ukungu hadi maji yamekuwa giza pia tazama hivyo vibanda vimejengwa vimepinda kutoka usawa wa barabara pia ona uchafu ambao hauna sababu ya kutokusafishwa ,tazama pembeni ya hivyo vibanda ni kuchafu sana hata video ipo ,na mama katembelea hilo eneo pakiwa pachafu hivyo hivyo kipindi cha magufuli hapo pangewaka moto maana wangejua kwanini jpm alipo pata uraisi tu alitoka kusafisha uchafu mitaroni .lakini huyu raisi tuliye naye ni kipofu yaani kafika hapo ajaumizwa na huo uchafu !!!!??? Hata hiyo barabara imepindishwa pindishwa bila ya sababu msingi ipo kama mnyooo,sehemu nyingine nene nyingine nyembamba
 
Hiyo fukwe haikuwa chafu hivyo miaka ya 90 tazama ukungu hadi maji yamekuwa giza pia tazama hivyo vibanda vimejengwa vimepinda kutoka usawa wa barabara pia ona uchafu ambao hauna sababu ya kutokusafishwa ,tazama pembeni ya hivyo vibanda ni kuchafu sana hata video ipo ,na mama katembelea hilo eneo pakiwa pachafu hivyo hivyo kipindi cha magufuli hapo pangewaka moto maana wangejua kwanini jpm alipo pata uraisi tu alitoka kusafisha uchafu mitaroni .rakini huyu raisi tuliye naye ni kipofu yaani kafika hapo ajaumizwa na huo uchafu !!!!??? Hata hiyo barabara imepindishwa pindishwa bila ya sababu msingi ipo kama mnyooo,sehemu nyingine nene nyingine nyembamba
Kwenye uchafu walisema hilo eneo pembeni watafanya pavement na kuiacha fukwe ikipendeza zaidi na ndiyo lengo la kujenga hyo road, nadhani tusubiri kwanza tuone, mana hawawezi kupajenga hivyo zen wakaacha mazingira yawe machafu, kuhusu vibanda sina la kusema kama watavitoa sawa na kama wataviacha pia sawa mana havija cover eneo kubwa wamevijenga hivyo nadhani kuacha muonekano wa coco uhakisi mazingira ya kiafrika japo kdg.

Kuhusu road kupinda, haijapinda bali imefuata geomorphological structure ya eneo, hizo sehemu unazoona kama zimepinda ni vi parking vdg vdg, all in all tusubiri ujenzi uishe kabisa mkuu.
 
Screenshot_20211118-185627.jpg
 
wazee wa dar is slum...kunaendaje hukoo kwa ka mgao ka umemee....genereta zinarindima jijini koteee mazee dah!!!
 
Uchafu upo hadi kwenye mchanga wa bahari
AU watafanya pavement hadi majini?
 
Max zimesharekebishwa tatizo sio muundo bali ilikuwa ni software inayoruhusu ndege kufanya manouvre angani imeshabadilishwa na kupitishwa na FAA. Kila kampuni duniani wanakimbilia kununua hizi ndege maana ni nzuri kibiashara.
Unaelewa kwa nini walitumia software?

Zile ndege fuselage yake ni ya 737, ndege ambazo zimefanikiwa kulizo ndege zote za Boeing. Baada ya kuona neo imefanikiwa, wakaona watachelewa kwenye soko. Wakalazimisha kwa kufanya marekebisho ya 737 na kuziwekea injini za kubwa za kisasa. katika majaribio Ikaonekana thrust wakati wa takeoff ni kubwa sana kuliko uwezo wa ndege, na hivyo kusababisha angle of attack kuwa kubwa, kuondoa tatizo hilo ndiyo wakatumia software kurekebisha tatizo hilo, kitu ambacho kilileta madhara.

FAA ndiyo waliothibitisha mara ya kwanza kuwa ndege ziko poa na baadhi ya board members wake waliwahi kuwa vibosile wa Boeing.
 
Kwenye uchafu walisema hilo eneo pembeni watafanya pavement na kuiacha fukwe ikipendeza zaidi na ndiyo lengo la kujenga hyo road, nadhani tusubiri kwanza tuone, mana hawawezi kupajenga hivyo zen wakaacha mazingira yawe machafu, kuhusu vibanda sina la kusema kama watavitoa sawa na kama wataviacha pia sawa mana havija cover eneo kubwa wamevijenga hivyo nadhani kuacha muonekano wa coco uhakisi mazingira ya kiafrika japo kdg.

Kuhusu road kupinda, haijapinda bali imefuata geomorphological structure ya eneo, hizo sehemu unazoona kama zimepinda ni vi parking vdg vdg, all in all tusubiri ujenzi uishe kabisa mkuu.
 
wazee wa dar is slum...kunaendaje hukoo kwa ka mgao ka umemee....genereta zinarindima jijini koteee mazee dah!!!
Nani kakuambia kuna mgao wa umeme, muulize mwalimu MK254 anaishi Tz miaka nenda rudi ataki kurudi huko, muulize kuhusu mgao akuambie.
 
Mm hapa bado sijaelewa, kwamba wamebadili Airbus kwa Max au hizo Max ndiyo ingizo jipya la mama mana hizo za kwanza zote ni za awamu ya tano.
Airbus 2 zilishalipiwa down payment, sidhani kama zimeondolewa by the way Mama anaipenda sana🙂
Nadhani Max ni order mpya, so in total hapa tunazungumzia ndege mpya 7.
 
Hehehehee ndio naona hapa Tanesco kupitia ofisa wao eti wanasema kabisa "Watanzania tujiandae kwa mgao wa umeme" ss swali langu ni kwamba, je huu mgao ulisubiri Magufuli afe ndio maji yakauke? Ukweli ni kwamba kuna mchezo mchafu huwa unachezwa na Tanesco ambao Magu aliutaja hadharani kwamba some corrupt Tanesco officers wanalipwa pesa wanayafungulia maji ktk bwawa wanayaruhusu kumwagika usiku zen bwawa linapungukiwa maji zen power rationing, baada ya hapo watu wanafanya biashara ya mafuta na majenereta.

Ndio maana mm niliumia sana yule mzee alipofariki, wanasema alituacha salama lkn ukweli ni kwamba hakutuacha salama, alituacha kati kati ya hatari, watu wamerudisha michezo ile ile, nachelea kutafakari kama JNHPP itatusaidia, mafisadi hawapendi kabisa huu mradi mana utawakosesha pesa za bure.

Mama haambiwi ukweli, au anaambiwa ukweli lkn huenda naye ni mmoja wao au huenda hajui ku integrate, tutamkumbuka sana jemedari.
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 18 brand new na co 16 mana Max zitakuja mbili.
 
Ukweli kama hizi ndio hampendi mkiambiwa
View attachment 2014594

This is what part of that AfDB report says:
View attachment 2014603
Number mtazidi kusoma sana
narudia tena,sisi hatudili na makaratasi mzee,
tunadeal na reality

muache ujinga wa kueneza porojo na propaganda kwenye website paper
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 18 brand new na co 16 mana Max zitakuja mbili.
Mimi nachofahamu walikuwa wamepanga Idadi ya ndege ziwe kwa mfumo wa Pyramid kulingana na ukubwa wa ndege lakini mpaka sasa Pyramid yetu haijakaa sawa. Hizo B737-9 Max zinatakiwa ziwe nyingi kuliko B787-8 labda kama kuna muendelezo wa ununuzi wa ndege nyingine baada ya hizo order kuwasili nchini.

B767-Freighter
B737-9 Max
B787 Dreamliner
A220-300
De Havilland - 400
 
Hehehehee ndio naona hapa Tanesco kupitia ofisa wao eti wanasema kabisa "Watanzania tujiandae kwa mgao wa umeme" ss swali langu ni kwamba, je huu mgao ulisubiri Magufuli afe ndio maji yakauke? Ukweli ni kwamba kuna mchezo mchafu huwa unachezwa na Tanesco ambao Magu aliutaja hadharani kwamba some corrupt Tanesco officers wanalipwa pesa wanayafungulia maji ktk bwawa wanayaruhusu kumwagika usiku zen bwawa linapungukiwa maji zen power rationing, baada ya hapo watu wanafanya biashara ya mafuta na majenereta.

Ndio maana mm niliumia sana yule mzee alipofariki, wanasema alituacha salama lkn ukweli ni kwamba hakutuacha salama, alituacha kati kati ya hatari, watu wamerudisha michezo ile ile, nachelea kutafakari kama JNHPP itatusaidia, mafisadi hawapendi kabisa huu mradi mana utawakosesha pesa za bure.

Mama haambiwi ukweli, au anaambiwa ukweli lkn huenda naye ni mmoja wao au huenda hajui ku integrate, tutamkumbuka sana jemedari.

Yani inasikitisha mpaka basi waliinza kwa kisingizio cha maintenance, sasa wametafuta kisingizio kingine daah, nchi inazalisha karibu surplus ya almost megawatt 350 ila kunamgao sasa nashindwa mbona kuwe na mgao kwenye majii tena ndio yaleyale, mama anajua sana sema ndio hivyoo hana meno eti anasema tuombe dua mvua zinyeshee 🤔
 
Back
Top Bottom