Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna siku humu nilisema kuingeza efficiency ya kwenye bandari na management ni bora serikali wafanye Singapore kama case study na waangalie pa kuanzia haina maana wanunue mitambo kama ya Singapore overnight hapana . Waweke short and long term plan. Mkiweza pakua na kubakia mizigo kwa mda mfupi mnafanya kupata meli nyingi zaidi na mapato yanaongezeka
 
Great wall apartment phase 2,
EY9ax4IXsAA3ghF.jpeg
EY9a3JTWAAAqVdH.jpeg
 
Na nyie mnajua tofauti kati ya lami na vumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
jf mara inanibanja,.. mara inanirusha.. swadakta.. kila kitu mwake mwake babaake ..
 
Nani kakuambia kuna mgao wa umeme, muulize mwalimu MK254 anaishi Tz miaka nenda rudi ataki kurudi huko, muulize kuhusu mgao akuambie.
 
Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia.


Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
20211119_040006.jpg
20211119_035939.jpg



 
kichwa kinauma hangova. mara naskia kutapika. mm na penda kufungua roho huku. nataka ushauri wenu nyinyi wadau wa jf
 
Mradi wa stigler gorge ukufa basi na serikali yote ife. Wasutufanye sisi mazuzu. Faini barabarani tunalipa, kodi zao tunawapa. ......matozo kibao wametuwekea na tunatoa. Hela ipo ila wanaitafuna tu.

Ole wao Mradi usiishe huu. Shezi tym! Bkadifakens! Koksakaz!
 
We shoooga unamuuliza nani ilo swali? kamuulize mkeo mjambiani na wapumbaavu wenzako ,sisi siyo mazuzu
Siku Hizi ndo mnamsimanga Geza namna hii? 😂😂😂

Lakini Sio Poa kumjibu mtu aliyeuliza swali namna hii. Kama huwezi jibu kaa kimya. Jibu lako ni kiashiria tosha kuwa wewe ndio mpumbavu Maana hujajibu swali lililoulizwa!
 
View attachment 2015546
Umeme hautoshi halafu wantuletea porojo za uwekezaji. Hao wawekezaji wataendesha mitambo na mishumaa. ....mxm

Huu mserekali ushanichosha mie. Hakuna hata mmoja mwenye akili.
 
Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia.


Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
View attachment 2015845View attachment 2015846



Hamna wa kuuzuia huu mradi usimame aisee, huu ukisimama na sgr nao usimamee
 
Kwani hawana wind,geo, solar and thermal electricity?
Ni kutegemea hydro power like 1960 na hii global warming!!!
 
Back
Top Bottom