Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_6604.jpg

Goodmorning kwa hisani ya Dar es Salam
 
Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia.

Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
View attachment 2015845View attachment 2015846

They shouldn't surbotage stiglers aiseh..that would be a *** up of Century..let it finish..then waendelee na siasa zao za kutojaa kwa maji
 
Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia.

Je, ni kweli ndicho wanac
Kazi ya kufuta legacy inaendelea.

Wanataka kuwadhulumu watanzania kupata umeme wa bei nafuu.

Unakumbuka Kikwete aliamua kuweka sahihi yake kwenye tunnel sambamba na ile ya Magu ili tuu kuharibu. Mbona pale Muhimbili kitengo cha moyo hakuna aliyemuingilia?
 
Back
Top Bottom