Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu haya mambo ya umeme kukatika na maji kutokuwepo naanza kuhisi huenda ni propaganda za kisiasa tu, mbn sioni huo mgao? Au utakuja soon mana mm naona kawaida tu, umeme unakatika mara chache sana per week, au mm cjaelewa hapa? Hebu nielewesheni huko kwenu vipi.
Maybe haupo kwenye ile mikoa 11 iliyotajwa but huku Arusha since jumatatu umeme unakatika saa mbili kurudi saa 12 au 1 jioni
 
Hivi unajua maana ya kulisha? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Maana yake ni pale tunapokatisha kuwaletea chakula Rais wenu anatuma viongozi kuja kuipigia magoti Tz, yani cku Tz itakumbwa na njaa basi East and Central Africa plus SADC countries zitakuwa na njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana nasema border tufunge. Mnavizia sana. Mnaua biashara zetu.
Hakuna jinsi Tony, mtaendelea kutumia bidhaa zetu na hakuna kitu mnaweza fanya, hiyo ipo hivyo miaka nenda rudi sema tulikuwa hatutangazi kama tunavyofanya sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hapa vipi?
yan hapa bado ni “malazy” na bado tumelala.. tukiamka na tukipona je uvivu wetu.. mtabaki salama?
View attachment 2016081
View attachment 2016082

Hii Number ni ya machi mpaka juni.
Sasa kuna kampuni za kenya nyingi zinanunua coal , Kwahio hio mpaka kufika juni Mwaka kesho makisio itafika $500M- $700M

Safari Hii tunawapiga kenya mpaka kibiashara tumekuja kivingine
Jpm aliwapiga kimiundombinu sasa SSH anawapiga kibiashara na Kenyatta Yupo Vizuri ametufungulia soko kazi kwetu.

Sera ya SSH kiuchumi ni nzuri 100%
 
Maana yake ni pale tunapokatisha kuwaletea chakula Rais wenu anatuma viongozi kuja kuipigia magoti Tz, yani cku Tz itakumbwa na njaa basi East and Central Africa plus SADEC countries zitakuwa na njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
'kutuletea'

Yani hivi shopkeeper was Kijiji Chako akikukataza kununua kwake utakufa?🤣🤣
 
View attachment 2016349Jengo la 88 Nairobi limetinga ghorofa la 17
1637322971179.png
 
'kutuletea'

Yani hivi shopkeeper was Kijiji Chako akikukataza kununua kwake utakufa?[emoji1787][emoji1787]
Mbn tunawaletea maringo na hamkomi kuomba tuwauzie chakula and other processed goods? C muende kununua kwengine kama mna ubavu huo, ukweli ni kwamba tunawauzia chakula na other processed goods kwa bei nafuu sawa na bure na ndiyo maana tukiwapiga pini Rais wenu anapiga magoti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyinyi ndio mnaomba mtuuzie ama Sisi ndio tunaomba mtuuzie? 🤣🤣

Si hata humu kuna thread Mtaanzania akiomba Soko la mahindi Kenya?🤣🤣

Si kila mara mkifungiwa Soko la Kenya mnafura?🤣🤣
 
Nyinyi ndio mnaomba mtuuzie ama Sisi ndio tunaomba mtuuzie? [emoji1787][emoji1787]

Si hata humu kuna thread Mtaanzania akiomba Soko la mahindi Kenya?[emoji1787][emoji1787]

Si kila mara mkifungiwa Soko la Kenya mnafura?[emoji1787][emoji1787]
Kwamba kuna siku chakula kimekosa mlaji duniani au sio? Njaa mliyonayo ndiyo inayofanya mnatia aibu kwa kupigia magoti nchi za watu ambazo hazina njaa, na mshukuru Magu hayupo mana alikuwa na mpango wa kuwaletea chakula kwa bei ya juu cz nyinyi ni wazembe sn, karne hii ya 21 mnakufa kwa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani makunya kweli hayana akili, karne ya 21 bado yanasumbuliwa na njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi ni Tanzania pekee inayotoa chakula hii Dunia? Hivi nikiwa na pesa nitakosa pa kununua chakula kisa Tanzania imekataa kuniuzia chakula? Mbona unafikiria kama mburukenge?🤣🤣
 
Back
Top Bottom