Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Idea nzuri 👏👏👏👏
Sitashangaa kampeni zijazo hili suala likawa agenda....Hii nchi haina mifumo thabiti kila kitu Ni siasa
Tatizo wanafanya siasa, kama kweli wako serious wanatakiwa kuondoa mabango yote yaliyo katikaki ya barabara, malori na magari yanayo paki hovyo hovyo kando ya barabara
vs



