Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Kumbe kenya last year uchumi wao ulikua kwa -3.0%, kwahiyo walikua wanatudanganya hawa jamaa
kujifanya eti uchumi wao ulikua kwa zaidi ya 7% mkunya ni muongo sana..



Naona umeshindw apa kutokea sasa wajifarijiKwanza kwa kuwa tu na iyo mentle ya mshahara ni tatizo...pili naona umetumia mshahara wako kujipimasio mbaya pambana


Mbna nyie hela yenu ya TRA hamgawii watu mwisho mnaenda kuzitumia kinyuma na sheria kununua mimdege ili muipaki JNIA


Ujirani mwema tu kaka.Katumia anatumia ndege ya rais wetu
Nilikua nasoma chuo flani nchi flani na Mburundi mmoja, alikiuaa anaipenda bongo achaaa, hadi mi mwenyewe najitaathmini kama mbongo, kulikua na hall kubwa kila mtu anachora na kuandika kitu chochote cha nchi yake, Jamaa ye alichora Ramani ya TANZANIA na bendera .Burundi ni nchi ya Tanzania iliyopo nje ya mipaka yetu (joking)![]()
here is the receipt [mention]Tony254 [/mention] .. uchumi wenu unakuwa kwa 7.6% .. my foot!


umemaliza showPengine hakuna walakini pale. Pengine Arusha haina industries nyingine isipokuwa utalii pekee. Ilhali maeneo mengine yanategemea industries na sectors nyingi tu. Halafu hata hio sekta ya utalii utakuta Arusha inawagana watalii na Zanzibar. Sio kwamba watalii wote wanakwenda Arusha.Yaani Arusha haipo top 5 na zaidi ya 70% ya watalii wanaokuja Tanzania hupita pale! Nadhani kuna walakini kwenye hizo statistics!
Yaani mwanabiashara akikata pipe ya maji bahati mbaya unakuta mtu anaanza kuuliza kama Gdp ya Kenya kweli ni ya $100 billion. Mnashangaza sana. Ni kama kuwa na uchumi mkubwa kunazuia makosa madogo kama haya kufanyika.Hivi huo uchumi wenu wa $100B uko wapi?
Tony254
nyie wakenya mbona hamueleweki,kioindi cha nyuma wakati hatuna ndege mlitukashfu kwa maneno kuwa hatuna ndege,sasa hivi tunanunua ndege zetu kwa pesa zetu unaanza ooh mnanunua mindege ili muipaki JNIA,Mbna nyie hela yenu ya TRA hamgawii watu mwisho mnaenda kuzitumia kinyuma na sheria kununua mimdege ili muipaki JNIA
Hawa unene wanaupatia mahotelini na makambini broo.Mimi nilitegemea mtushinde angalau kwenye kandanda maana huwa tumelegea sana upande huo. Au basi hata mngetushinda kwenye rugby maana rugby huwa inataka mijitu yenye miraba minne iliyokula na kujishibia na kuvimbiwa. Nyinyi huwa mnajidai mna chakula kwa wingi na sisi tunakufa njaa. Sasa iweje watu kama sisi tunaokufa njaa ndio angalau tunajaribu kucheza rugby ila nyie mijitu yenye miraba minne mliokula na kujishibia bado mnashindwa kucheza mchezo huu? Mnakula sana ili iweje? Itakuwa mnakula na kukunya tu bila kutumia nguvu hio kwenye mambo ya maana.
Tazama wazee wa kazi waliposhinda Singapore 7s mwaka wa 2016 kwa kushinda kila mtu uwanjani.
View attachment 1982069
View attachment 1982070
Kazi yenu ni kukula na kukunya tu, nguvu hio mnaipeleka wapi?
View attachment 1982071
Sie hatuna chakula ila angalau tunajaribu kuiwakilisha Afrika kwenye michezo za watu walioshiba
![]()
Endeleeni kujipiga vifua kwamba mna chakula ya kutosha na kwamba mnailisha Africa ila tunawapiga kwenye michezo zote.