Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anayosema mengi ya ukweli yako wapi hayo mengi anayosema, infact humu ndani Watz walio wengi including me tunashindwa kumuelewa mana anaonesha tabia za wanasiasa wa bongo ambayo ni tabia iliyoongelewa vzr sn na Mwl. Nyerere.

Humu watu hatumpingi lkn asituone wajinga tunapomkumbusha kauli zake juu ya JPM, kama ulikuwa unasifia zen baada ya mambo kubadilika umeanza kuponda inatakiwa utoe taarifa kwamba jamani eehh nilikuwa nakosea kusema vile samahani jamani ukweli ni huu, Mana lengo la kuwa humu ni kupeana taarifa hata kama una uhuru wa kuongea unachotaka lkn juwa kwamba huongei peke yako humu.

So unafki co mzr, asilimia kubwa humu watu wameelimika usidhani kwamba hatukumbuki, kwa hyo inabidi ajitathmini kwanza Mana humu hajiabarishi yeye mwenyewe.
Huyo geza na opportunity niachieni mimi hao mbonq naweza kuwafanya wawe wanamlilia mod humu ,watz hatutaki watu vigeugeu hata kura zetu tusipigie watu vigeu geu
 
Engineer aniambie subway ni kitu gani kwa lugha nyepesi...na Hii miji yetu inaweza fanya miradi kama iyo au lah na kwann
 
Kwahiyo Magufuli hakuamuru Tundu Lissu, Ben Saanane na Azory Gwamba wapotezwe?

Na hili swali hujajibu ila upo busy kunitukana humu ndani!
Watz wangapi wanaugua HIV na kusambaza kwa wengine kwa makusudi au huko siyo kuua?
 
JPM was stupid. I have been banned countless times for saying this but I still stand by my word.
JPM was stupid and everything that came his way was what he truly deserved.
 
Una ushahidi gani kwamba Magufuli aliamuru Tundu Lissu apotezwe? Kama unao ushahidi huo weka hapo sote tujionee.
Hoja ya kwanza Magufuli angetaka tundu lissu afe angemuua alipo rudi tz ,
Hoja ya pili kama ni msguful8 mbona magufuli kafa tundu lissu anaogopa kuja tz ,hizo hoja mbili tu zinatosha, TUNDU LISSU MWENYEWE KESHA JUA KUWA UENDA MAADUI WA MAGUFULI NDIYO WALIO FANYA HIVYO ILI KUMCHAFUA MAGUFULI KAMA HUYU SA100 NI MTU HATARI SANA YUPO NA MKWERE NEVER TRUST THEM
 
Waongo wa Asia, IMF wamewaumbua kutokana claims zao za kwamba eti uchumi wao ulikua kwa 12.5% 2021 while ukweli ni kwamba uchumi wa India ulikua kwa 9.5% 😂😂. . Alafu hawa wasenge wanajilinganishaga eti na China 😂😂 mataifa yaliyotawaliwa na muingereza yana propaganda sana 😂😂😂.. uongo uongo tu kama jirani zetu wa north
 
Katiba inataka kulinda kila mwananchi sasa yeye kuzuia uchunguzi wa hawa watatu ina maana kahusika! Kingine fuatilia kesi ya Sabaya ujue "maelekezo/amri toka juu" inamaanisha nn!
Hiyo mbona kawaida tuvwewecunafikili uraisi ni kama mashosha mnavyo vuliwa pichu na mabasha wenu ,huyo hata USA kuna amri kutoka juu hata Osama aliuliwa kwa amri kutoka juu hata sasa lisu anaogopa amri kutoka juu kwa sa100
 
We basi una akili gani ya kuelewa vitu, achana na geza awanyooshe bana
Geza tumewaachia awe team kibera ili kuongeza nguvu kidogo maana jahazi la kunya linazama kwa sababu ya kazi nzuri za MAGUFULI THE GREAT ,hata nyinyi wakenya mnajua bila ya magufuli bomba la mafuta ya uganda lingepita kenya ,na sgr yenu ingekuwa imefika uganda rwanda na drc ,pia bila ya magufuli yule COW wa kibera angekuwa hai hadi leo
 
Mkuu, mtu kuwa kigeugeu (mafiki) na kile anachokisema ni Mambo mawili tofauti kabisa, Geza tunaweza kumuhukumu kwa hilo la kugeuka lakini sio kwa anayoyasema.

Hilo la kugeuka hata Mimi ninaliona na linanisikitisha, ninaamini Moja ya sababu ya kuwa hivyo ni (Counter reaction) baada ya watu kumzonga na kumshambulia Sana akaamua "Kama ni mbwai iwe mbwai", lakini kwa anayoyasema ni ukweli kwa kiasi kikubwa.

Mimi ninamkubali Sana Magufuli, Sana Sana, lakini hayo maeneo anayozungumzia Geza kuhusu Magufuli ni kweli Magufuli alikosea, Mimi ninayachukulia Kama ni sehemu ya mapungufu yake, ninayaweka pamoja na kuyalinganisha na mazuri yake mwisho ninagundua kwamba, mazuri yake yanazidi mabaya yake.

Kosa ninaloliona kwa Geza ni kwamba ameamua kushikilia Yale mabaya yake Kama silaha ya majibishano, lakini Kama tungeamua kutaja mazuri vs mabaya ya Magufuli, hapo ndio tungejua nani angeishiwa hoja mapema.
 
mara nyingi mtanzania anaaminika popote duniani,nimeambia mara nyingi! Where there is a Tanzanian there is honesty and sense of security wabongo hatunaga Noma na MTU tuko cool najivunia Kuzaliwa Tanzania na Kuwa mtanzania
kabisa
 
Back
Top Bottom