Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sitashangaa kampeni zijazo hili suala likawa agenda....Hii nchi haina mifumo thabiti kila kitu Ni siasa
Ila taratibu ni muhimu wafanyabiashara wadogo wafanye biashara zao mahali rasmi na waruhusu wafanyabiashara wakubwa wafanye biashara kwa amani pia. Imagine mtu anapika chini ya nguzo ya umeme na anaiba na umeme, hatari yake inaweza unguza kiwanda kizima cha yule mfanyabiashara mkubwa! Pia kuna suala la haki za wapita kwa miguu. Hili zoezi limechelewa sana! La sivyo tunaenda kujenga Manila, Mumbay na Jakarta nyingine hivihivi tukiangalia cha ajabu masoko yapo tena yamejengwa kwa gharama. Hao wafanyabiashara ndogondogo wanaweza kujikusanya wakanunua bajaj za kusambaza chakula chao kama RC alivyosema wapikie majumbani kwao na si kama sasa. Mbona mamalishe wapo dunia nzima hata nchi zilizoendelea unakuta viwandani kuna canteen na kuna wale wanaoleta chakula kwa van! ikifika mchana kipindi cha break wapo!
 
nyie wakenya mbona hamueleweki,kioindi cha nyuma wakati hatuna ndege mlitukashfu kwa maneno kuwa hatuna ndege,sasa hivi tunanunua ndege zetu kwa pesa zetu unaanza ooh mnanunua mindege ili muipaki JNIA,

kipi unachotaka sasa maana haueleweki?
Mbona hela ya ndege itolewe kinyemela
 
aise
Wewe kweli ni mpumbavu nyerere kauwa watu wengi kuliko maraisi wote hapa tz na kaua hadi wazungu sema tofauti yake ni kwamba kaua kwa HAKI NI KAMA MFALME DAUDI ALIUA HADI MUNGU AKAMWAMBIA WEWE UWEZI NIJENGEA HEKALU KWA SABABU UNADAMU YA WATU WENGI MIKONONI MWAKO....KIKWETE KAUA WATZ WENGI KWA MADAWA YA KULEVYA NA UJAMBAZI KIPINDUPINDI ,KAUA WANAVIJIJI MAMIA KWA KUPITIA WAWEKEZAJI MIGODINI kama utakumbuka kuna matukio ya watz kufukuzwa machimboni kwa kufukiwa migodini, pia mabeberu walipo teketeza kijiji kizima ili kuwafukuza wananchi kwenye maeneo yao ili wachimbe madini ,hao mabeberu walimwaga sumu mtoni kijiji kizima kikateketea kwa watu kufa na kubabuka sura, vyombo vya habari vikarusha hizo taharifa zika zimwa ghafla kukawa kimya kabisa maana waliogopa habari kufika kwa baadhi ya wazungu wema ingeleta matatizo duniani ,habari za msitu wa mwagepande ambapo kikwete alifanya yake huko . MKAPA aliua wazanzibari kama elfu1400 hadi wakakimbilia kenya na hii ndiyo chuki ya Mama Samia kwa muungano ilipo hata sasa sema tu ni kama mchawi kupewa mwana .... ,habari za msikiti wa mwembe chai umezisahau
 
Kwanza, wapi tulisema kwamba uchumi wetu ulikuwa wa 7%? Hebu onyesha. Pili, uchumi wetu haukuwa kwa -3% bali -0.3%.
Baba yao naomba utuletee ushahidi wa Wakenya wakijisifu humu ndani kwamba wanakuwa kwa 7%, mm nilikuwa najua fika kwamba Kenya uchumi wake upo kwenye negative lkn humu hawa mbwa waongo waongo wakiongozwa na Teargas wakawa wanajisifia eti uchumi wao unakuwa kuliko nchi zote EA alafu na cc tukawa tumekausha tu, Watz tuwe makini na hawa watu.
 

GRA to sign MoU with Tanzanian revenue body

#Headlines
Oct 22, 2021, 10:52 AM

The Board of Directors of the Gambia Revenue Authority (GRA) has returned from a four-day study tour at the Tanzania Revenue Authority (TRA), Dar Es Salam, Tanzania. The two institutions are expected to sign an MoU.

Tanzanian-revenue-body__ScaleMaxWidthWzcwMF0.jpg


According to the Commissioner General Yankuba Darboe, the board’s study tour was meant to expose the board to the experiences of the Tanzania Revenue Authority in using digital platforms to collect revenue and to benchmark GRA’s tax processes and procedures with those of TRA to determine best practice.

The study tour was informed by the fact that GRA is in the process of introducing e-filing and e-payment platforms for the payment of duties and taxes. He stated that the introduction of the digital platforms will not only reduce the cost of compliance for taxpayers, but it will also reduce the cost of tax administration. “GRA is looking forward to launching the ASYCUDA WORLD system most likely at the end of the year. The ASYCUDA WORLD system is an improved upgrade of the ASYCUDA++ that is currently in use. It is web-based and as such, it will allow importers and exporters to clear their goods in the comfort of their couch or offices anywhere in the world with little or no human intervention,” CG Darboe said.

Aside from the ASYCUDA WORLD system, GRA is also in the process of acquiring a new Integrated Tax Administration System for domestic tax collection through a funding from the World Bank to replace the GAMTAXNET system. “This new system will be a game changer in terms of GRA’s digitalisation agenda. Once in place, the new system will allow taxpayers among other things, to file returns and pay taxes online with little or no human intervention and with no need to visit our offices.”

The study tour to TRA was worth the visit as the Board was taken through TRA’s modern tax administration practices and how this has significantly impacted the revenue performance of TRA. “We chose TRA for the study tour because it is the oldest Revenue Authority in Africa and this has placed it as a beacon in implementing effective reforms in tax administration. Further, as an African country, Tanzania and The Gambia share the same social and economic realities and are faced with similar challenges. Therefore, TRA was an ideal Revenue Authority to learn from as we seek to modernize our processes and procedures.”

As part of the study tour, the Board was also taken on a conducted tour of the Tanzania Institute of Tax Administration (ITA), one of the leading tax administration institutes in Africa. ITA offers degree programs and short courses various aspects of tax administration and GRA and TRA have proposed the signing of an MoU to enhance cooperation between the two sister institutions especially in areas of capacity development and exchange programmes.

 
Geza Ulole utapuuzwa na waTZ wengi huku. Utatengeneza chuki na Watanzania wenzako. Jaribu kutengeneza urafiki nao na kupunguza malumbano nao.
Urafiki nje ya ukweli ni unafiki! Get to know the genesis ya hili! Ni kueleza mabaya ya Magufuli! I have nothing to fear and no one will cow me down on that! Just like they peddle his good i have the right to peddle his bad in the honor of those lost souls!
 
Huu ni ushauri wa busara, ila kwa upande mwengine watu waache kumsakama kwasababu anayo haki ya kutoa maoni yake, na ukiangalia kwa undani Sana mengi anayosema ni kweli.
Anayosema mengi ya ukweli yako wapi hayo mengi anayosema, infact humu ndani Watz walio wengi including me tunashindwa kumuelewa mana anaonesha tabia za wanasiasa wa bongo ambayo ni tabia iliyoongelewa vzr sn na Mwl. Nyerere.

Humu watu hatumpingi lkn asituone wajinga tunapomkumbusha kauli zake juu ya JPM, kama ulikuwa unasifia zen baada ya mambo kubadilika umeanza kuponda inatakiwa utoe taarifa kwamba jamani eehh nilikuwa nakosea kusema vile samahani jamani ukweli ni huu, Mana lengo la kuwa humu ni kupeana taarifa hata kama una uhuru wa kuongea unachotaka lkn juwa kwamba huongei peke yako humu.

So unafki co mzr, asilimia kubwa humu watu wameelimika usidhani kwamba hatukumbuki, kwa hyo inabidi ajitathmini kwanza Mana humu hajiabarishi yeye mwenyewe.
 
Anayosema mengi ya ukweli yako wapi hayo mengi anayosema, infact humu ndani Watz walio wengi including me tunashindwa kumuelewa mana anaonesha tabia za wanasiasa wa bongo ambayo ni tabia iliyoongelewa vzr sn na Mwl. Nyerere.

Humu watu hatumpingi lkn asituone wajinga tunapomkumbusha kauli zake juu ya JPM, kama ulikuwa unasifia zen baada ya mambo kubadilika umeanza kuponda inatakiwa utoe taarifa kwamba jamani eehh nilikuwa nakosea kusema vile samahani jamani ukweli ni huu, Mana lengo la kuwa humu ni kupeana taarifa hata kama una uhuru wa kuongea unachotaka lkn juwa kwamba huongei peke yako humu.

So unafki co mzr, asilimia kubwa humu watu wameelimika usidhani kwamba hatukumbuki, kwa hyo inabidi ajitathmini kwanza Mana humu hajiabarishi yeye mwenyewe.
Kwahiyo Magufuli hakuamuru Tundu Lissu, Ben Saanane na Azory Gwamba wapotezwe?

Na hili swali hujajibu ila upo busy kunitukana humu ndani!

Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewanyumba za Polisi, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, soko la kisasa, ikajengewa na chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC), ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa mahakama ya Wilaya kama ya Chato, ikajengewa ofisi za Zimamoto kama Chato, ikajengewa Hoteli ya nyota 3 (inasemekana nyota 4) kama Chato, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!

 
Back
Top Bottom