Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Unatia hurum sna ...kwanini unawaza vitu vya kurithi? Kajan pambana uwe na chako ndio kitamNaona umeshindw apa kutokea sasa wajifariji[emoji1787][emoji1787]
Mwenzako kawekeza we keti hapo tu ukipiga kelele, au unafikiria mjini watu hawamiliki matatu hata za kurithi