Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
yeah ni betting office., uko timamu tu 😂 😂 😂 😂hiyo ni betting office ama?View attachment 1978713
yeah ni betting office., uko timamu tu 😂 😂 😂 😂hiyo ni betting office ama?View attachment 1978713
kuna tofauti kubwa sana kati ya forest na vichaka poriMiji ya kisasa ilio na nature, sio kama Afghanistan Kabul ya EAC.., usiruhusu wivu ikusumbue kaka, zoea ukweli utapona tu![]()
![]()
![]()
![]()
New York.., yaani New Forest..,![]()
kama tu Naipori.,
![]()
![]()
Nairobi..., miti lazima ipandwe kila kona., #NAIPORI.,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
If you dont have a prove please stay in your pathetic lineHujui tofauti ya "HAS" na "HAD"kingereza imekupiga chenga unaendelea kudisplay ujinga bila aibu.
![]()


fool..like expected nothing to show for....just like the rest of kunyans stay in your line fool...Maumivu hahahahAcha kujiaibisha wewena ni huyo huyo macharia ndio alitoa status ya kq kua inamiliki ndege tatu au tuseme hutaki machafia aongee ukweli
mzee wa kurusha jiwe baharini una mawenge sana,Haujielewi wewe, uko na matatizo ya ki fikra, nenda beach ukazubae kule kama uko pwani., kunywa kahawa chungu na kaimati, relax tu, ni jioni.
Wivu inakunyonga kwa sasa., vumilia mzee., 😂 😂 😂 😂kuna tofauti kubwa sana kati ya forest na vichaka pori
huwezi compet hata punje ya unga,ona pembeni mji ulivyojifunika na makazi hapo hakuna mapori
Dar ndiyo new york ya EAC
Mbona developed area ya kunya hii apa na atuteti...toa ujinga apaKiswahili tupu, maneno empty.., Dar hii hapa developed area yake yote.., outside here nothing to measure up.., ama bado utapinga?![]()
![]()
kila jengo la maana Dar ndani.., eti density kumbe wamesanya mijengo yao yoote sehemu moja..,
![]()
![]()
nje ni uswazi kote kote
View attachment 1978214
ona sasa, zero ca[pacity to even argue, mikwara 😂 😂 😂 😂 😂 😂mzee wa kurusha jiwe baharini una mawenge sana,
siku nyingine usirudie kuvuta weed chooni wakati unakichwa panzi
Point ujinga nione.., am seeing Nairobi west estate hapo chini., opposite sehemu ya industrial, na expressway under construction kisha kwa umbali muonekano wa Old CBD from angle ya Haille Sellasie Avenue.., na GTC tower in as foggy view., ni nini cha ajabu hapo? Dar ukiweka hivi ni balaa 😂 😂 😂Mbona developed area ya kunya hii apa na atuteti...toa ujinga apaView attachment 1978735
Uku ni kunyaa sio?wivu na asira peleka kwa uhunye....this are just apart of many developed areas in Dar...mind your lineKiswahili tupu, maneno empty.., Dar hii hapa developed area yake yote.., outside here nothing to measure up.., ama bado utapinga?![]()
![]()
kila jengo la maana Dar ndani.., eti density kumbe wamesanya mijengo yao yoote sehemu moja..,
![]()
![]()
nje ni uswazi kote kote
View attachment 1978214
inabidi uvumilie kuwa mtanzania!
![]()
wakimaliza kukusanya, hela zinatumika hivi....
Jaribu tena bila kulia hio ni CBD pekee na parts of Mombasa road. Westy pekee imewatosha. Dar hakuna big city feel bedroom ndio kubwa. Commercial zone na Industrial zone Nairobi is superior.
Wacha kupoteza mdaah ..uchafu wenu huuuWacha nikusaidie.., hii yako ni which year, umeokota vitu mitandao kujiliwaza.., tuko 2021.., Nimewacha Kilimani, Ngara, Eastleigh, Mombasa road, Langata area.., Eastlands Na kadhalika nje., just a few developed area., Dar ni moja tu utanipea angles tofauti..,
Nai in 2019
![]()
Old CBD
View attachment 1978226
![]()
![]()
![]()
Upper Hill
![]()
![]()
Parklands.,
![]()
Westlands
![]()
kengeni acheni keleleti mind your line., sasa umeandika kizungu eti kunionya 😂 😂 😂 😂 😂 ., kazi rahisi tu 👇 👇 👇 mbona tuandike kwa mate na wino upo.., same locality, kwingine usijisumbue, tunapajua., wacha machungu zoea ukweli, jikubalini mahali mpo kwa sasa..,Uku ni kunyaa sio?wivu na asira peleka kwa uhunye....this are just apart of many developed areas in Dar...mind your lineView attachment 1978736View attachment 1978737View attachment 1978738View attachment 1978739View attachment 1978740View attachment 1978741View attachment 1978743View attachment 1978744View attachment 1978745
jitekenye tu, umejichekea mzee? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ukubwa wa Dar ni population na makazi na sio CBD mlio ikusanya kwa locality moja.,Dar CBD na Kariakoo is equivalent to Nairobi +Mombasa CBDs Combined, that’s the truth though I know you won’t like it View attachment 1978748
Tofautisha tu, usiogope kaka 😂 😂 😂 😂Wacha kupoteza mdaah ..uchafu wenu huuukengeni acheni kelelView attachment 1978749
Nitalazimika mzee, kwa hali inavyoenda humu ndani labda italeta sanity kwa vile watu wanamwabudu humu ndani!
Peleka haya mambo jukwaa la siasa mkuu. Haya mambo hapa si mahali pake sema unaforce tu na wewe soon tutAkuita mobutu wa hii thread. Kuwa muungwana maana Magufuli ameshapita aliyoyafanya ameyafanya tusongembele. Tatizo lako uko so biased kiasi kwamba unataka kuleta perfection kwa mama Samia kitu ambacho hakipo. Kila kiongozi anafanya makosa whether ni kwa kukusudia au bahati mbaya hivyo hakuna perfect leader. TUACHANE NA MAMBO YA SIASA KATIKA UZI HUU. PERSONALLY , AM FED UP WITH THESE POLITICAL THINGS.Chato Kijiji huwezi fananisha na Jiji na NDIO Chato ilipendelewa tena kiukabila haikuwa na sifa ya kupelekewa mabilioni mbele ya Geita Town (watu +800,000 sensa 2012)! Kujenga hilo daraja hakukumpa mwendazake fursa ya kuchukua fedha za serikali nje ya idhini ya Bunge (wizi wa kiamabavu) na kwenda kujenga Chato! Jibu hili swali 👇👇 na si una cherry pick miradi kujaribu ku-distort the bigger picture! BTW leo nina nondo zaidi za kushusha dhidi ya Magufuli na genge lake! A brutal fact Magufuli was no different to Mobutu!