game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,053
- 26,331
Zenji patamu Sanaa
We zipeleke yard zikaoze hku ukiwa katika harakati zako za kutafuga za kwakoNarudia sina haja ya kurithi tuje kutoana macho , kama mzazi alipigana akaweza kwanini ww ushindwe badala yake uwaze kurithi?
We ulikuwepo bungeni ikipitishwa kisheriaulikuwepo wakati inatolewa kinyemela?
Comment yangu na magu wapi wapi, km wampenda sana hyo ungelienda kuzikwa naeGeza tumewaachia awe team kibera ili kuongeza nguvu kidogo maana jahazi la kunya linazama kwa sababu ya kazi nzuri za MAGUFULI THE GREAT ,hata nyinyi wakenya mnajua bila ya magufuli bomba la mafuta ya uganda lingepita kenya ,na sgr yenu ingekuwa imefika uganda rwanda na drc ,pia bila ya magufuli yule COW wa kibera angekuwa hai hadi leo
Comment yangu na magu wapi wapi, km wampenda sana hyo ungeliwnda na kuzikwa nae
Kwn we huaga wapelekewa moto na basha lakohii ni mida ya wewe kupelekewa moto, inaonekana basha lako ni goigoi sana
Kw kuwa mwanjeshi wa marekani basi kupata uraia kabisa, nyie watu mna balaa..Ila wakenya ni watu wa ajabu kweli, mtu utakimbiaje nchi yako ili ukawe mwanajeshi marekani, yote hayo ili kuupata uraia wa marekanii
Mkoa uliojaa vijiji mdani mwake


Vyote vile umeona mbuga ya wanyama tu sioUkiambiwa ulete ushahidi utaweza?akuna anae pinga mapungufu yake,
Mbuga ya wanyama ilianzishwa unauhakika? Unamanish haikuwepo?
maskini wakenya daah!!!!
team ya walevi hiyohawa tusker ndo mabingwa wa ligi kuu kenya..
bingwa kanyukwa kwake moja.. bado ugenini kanyukwa nne bila.. hata goli moja hawajafunga!
how shamble and hopeless their league is!![]()
View attachment 1983628
Kw kuwa mwanjeshi wa marekani basi kupata uraia kabisa, nyie watu mna balaa..
US army kibao na bado sio raia wa marekani
ata kipofu anaweza tofautisha jiji gani li zaidi ya nyingine