Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ka Nairobi kweli ni kadogo wallahi, yn ka expressway ka 5km zilizoinuka ndo kame cover CBD, West land mpk airpot [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha expressway in total ni 27 kilometres. Sema tu unajisahaulisha kimaksudi.
 
kila nkiona hili jengo picha ya magu hunijia
20211022_110218.jpg
20211022_110240.jpg
20211022_110345.jpg
20211022_110401.jpg
20211022_110510.jpg
20211022_110426.jpg
 
Matajiri ni asilimia ngapi ya wakenya?, Haizidi 1%, bado jam itaendelea tu
Sio matajiri pekee bali pia middle class wataitumia. Hio 1% sijui umetoa wapi. Kati ya magari 20% na 30% zitaondoka katika barabara za chini.
 
Sio matajiri pekee bali pia middle class wataitumia. Hio 1% sijui umetoa wapi. Kati ya magari 20% na 30% zitaondoka katika barabara za chini.
Sio kweli, ukitaka kujua ukweli linganisha Private Hospitals Kenya zimepunguza kiasi gani msongamano katika Hospitali za serikali, Madaktari wa Goverment Hospitals wakigoma unaona jinsi hali inavyokua hapo Kenya?
 
Geza Ulole utapuuzwa na waTZ wengi huku. Utatengeneza chuki na Watanzania wenzako. Jaribu kutengeneza urafiki nao na kupunguza malumbano nao.
Huu ni ushauri wa busara, ila kwa upande mwengine watu waache kumsakama kwasababu anayo haki ya kutoa maoni yake, na ukiangalia kwa undani Sana mengi anayosema ni kweli.
 
1)19< Age: They have time, Energy but no Money

2) 20 - 40 yrs; They have Energy, Money but no time

3) Above 45year; They have time, Money but no Energy

Kwahiyo mabinti wanajua kwamba huku watapa "Maximum attention"(time), highest pay(Money), from less work they perform (No Energy)[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom