Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Yani wanatumia vipicha uchwar kujipa matumaini



Yani wanatumia vipicha uchwar kujipa matumaini



Na ww ukisema abari za upinzani , unatuvuruga wengine sababu Tz kuna magenge ya upinzani sio upinzanikwahiyo alivyokuwa anakandamiza Wapinzani kisa ya mtazamo tofauti niseme sawa tuu? duh.
Wewe kweli ni mpumbavu nyerere kauwa watu wengi kuliko maraisi wote hapa tz na kaua hadi wazungu sema tofauti yake ni kwamba kaua kwa HAKI NI KAMA MFALME DAUDI ALIUA HADI MUNGU AKAMWAMBIA WEWE UWEZI NIJENGEA HEKALU KWA SABABU UNADAMU YA WATU WENGI MIKONONI MWAKO....KIKWETE KAUA WATZ WENGI KWA MADAWA YA KULEVYA NA UJAMBAZI KIPINDUPINDI ,KAUA WANAVIJIJI MAMIA KWA KUPITIA WAWEKEZAJI MIGODINI kama utakumbuka kuna matukio ya watz kufukuzwa machimboni kwa kufukiwa migodini, pia mabeberu walipo teketeza kijiji kizima ili kuwafukuza wananchi kwenye maeneo yao ili wachimbe madini ,hao mabeberu walimwaga sumu mtoni kijiji kizima kikateketea kwa watu kufa na kubabuka sura, vyombo vya habari vikarusha hizo taharifa zika zimwa ghafla kukawa kimya kabisa maana waliogopa habari kufika kwa baadhi ya wazungu wema ingeleta matatizo duniani ,habari za msitu wa mwagepande ambapo kikwete alifanya yake huko . MKAPA aliua wazanzibari kama elfu1400 hadi wakakimbilia kenya na hii ndiyo chuki ya Mama Samia kwa muungano ilipo hata sasa sema tu ni kama mchawi kupewa mwana .... ,habari za msikiti wa mwembe chai umezisahauNyerere, Mwinyi, Mkapa na JK hawajaua na hawajapoteza watu!
Cheki ni nani kakupa like moja sijui kama siyo choko mmoja hivileta ushaidi hao walipotezwa roho walimtukania mama yake!





Kaka unaweza kutaja japo mtu mmoja aliyeuliwa na Nyerere kinyemela? (Extrajudicial killings)Wewe kweli ni mpumbavu nyerere kauwa watu wengi kuliko maraisi wote hapa tz na kaua hadi wazungu sema tofauti yake ni kwamba kaua kwa HAKI NI KAMA MFALME DAUDI ALIUA HADI MUNGU AKAMWAMBIA WEWE UWEZI NIJENGEA HEKALU KWA SABABU UNADAMU YA WATU WENGI MIKONONI MWAKO....KIKWETE KAUA WATZ WENGI KWA MADAWA YA KULEVYA NA UJAMBAZI KIPINDUPINDI ,KAUA WANAVIJIJI MAMIA KWA KUPITIA WAWEKEZAJI MIGODINI kama utakumbuka kuna matukio ya watz kufukuzwa machimboni kwa kufukiwa migodini, pia mabeberu walipo teketeza kijiji kizima ili kuwafukuza wananchi kwenye maeneo yao ili wachimbe madini ,hao mabeberu walimwaga sumu mtoni kijiji kizima kikateketea kwa watu kufa na kubabuka sura, vyombo vya habari vikarusha hizo taharifa zika zimwa ghafla kukawa kimya kabisa maana waliogopa habari kufika kwa baadhi ya wazungu wema ingeleta matatizo duniani ,habari za msitu wa mwagepande ambapo kikwete alifanya yake huko . MKAPA aliua wazanzibari kama elfu1400 hadi wakakimbilia kenya na hii ndiyo chuki ya Mama Samia kwa muungano ilipo hata sasa sema tu ni kama mchawi kupewa mwana .... ,habari za msikiti wa mwembe chai umezisahau
Naked truth






Genge si vibanda za slum tuKwani Ile genge tuliyoambiwa inaenda kumaliza bongofleva imepotelea wapi tena!
Kuikataa chanjo iliyokibalika duniani kote ni kujidhalilisha na kujiaibisha mbele za watu wenye akili. Kwa unavyofikiria wewe ni kwamba hii dunia yote watu ni wajinga isipokua hapa Tanzania tu, tena watu wenye kupinga ni wale ambao hawana mamlaka ya kisheria na kitaalamu katika eneo la tiba?Tena huyo kachoma mara 2 bado kovidi imempitia, chanjo ni biashara tu ya watu inasaidia kwa 18% dhidi ya covidi ndiyo maana walio chanjwa wana amrishwa kuvaa barakoa kuliko wasio chanjwa mnajua kwanini ??? Ili ionekane awapati maambukizi wapate kutudanganya kuwa chanjo imefanya kazituli tazamia kuwaona walio chanja wakijichanganya kwa wagonjwa wa covid bila ya barakoa ili tuthibitishe kama ni kweli chanjo inafanya kazi majuzi mama kakataa kutembelea maeneo yaliyo Tengwa ya wagonjwa wa kovidi licha kachanja ,
Wetako jeupe kwani maeneo hakuna ya kuwekeza hata kigamboni kuna maeneo mengi tu ya fukwe manji ni tajiri fisadi na jambazi tu alikuwa hadi nana miliki shehena ya magwanda ya jwtz alitaka kuchafua nchi taharifa zake zipo usalama wa taifa yupo top kati ya watu hatarishi tz ndiyo maana hata baada ya magu kufa alirudi na kukimbia tena baada ya kupenyezewa taarifa na mafisadi marafiki zake waliopo serikalini kuwa ni hatari hata baada ya mama kuwa raisiTunataka pesa za kusaidia hao hao maskini.Maskini wewe anakusaidia nini?
evidence?Wewe kweli ni mpumbavu nyerere kauwa watu wengi kuliko maraisi wote hapa tz na kaua hadi wazungu sema tofauti yake ni kwamba kaua kwa HAKI NI KAMA MFALME DAUDI ALIUA HADI MUNGU AKAMWAMBIA WEWE UWEZI NIJENGEA HEKALU KWA SABABU UNADAMU YA WATU WENGI MIKONONI MWAKO....KIKWETE KAUA WATZ WENGI KWA MADAWA YA KULEVYA NA UJAMBAZI KIPINDUPINDI ,KAUA WANAVIJIJI MAMIA KWA KUPITIA WAWEKEZAJI MIGODINI kama utakumbuka kuna matukio ya watz kufukuzwa machimboni kwa kufukiwa migodini, pia mabeberu walipo teketeza kijiji kizima ili kuwafukuza wananchi kwenye maeneo yao ili wachimbe madini ,hao mabeberu walimwaga sumu mtoni kijiji kizima kikateketea kwa watu kufa na kubabuka sura, vyombo vya habari vikarusha hizo taharifa zika zimwa ghafla kukawa kimya kabisa maana waliogopa habari kufika kwa baadhi ya wazungu wema ingeleta matatizo duniani ,habari za msitu wa mwagepande ambapo kikwete alifanya yake huko . MKAPA aliua wazanzibari kama elfu1400 hadi wakakimbilia kenya na hii ndiyo chuki ya Mama Samia kwa muungano ilipo hata sasa sema tu ni kama mchawi kupewa mwana .... ,habari za msikiti wa mwembe chai umezisahau
Wewe rafiki ulikuwa unapinga chanjo sana. Sasa nashangaa kuona unasupport chanjo. Mbona unasuasua?Mkuu, Hospitali ndiko ambako watu hufariki kwa wingi kuliko sehemu yoyote Ile hapa duniani, Je tuamini kwamba Hospitali hazina msaada wowote?
sniches left stitchesUshuhuda wa mateso kutoka kwa washirika wa Mtakatifu JPM
MY TAKE
I wish i knew this was happened during the reign of mtakatifu cum malaika
Hao ni snitchesFuta na hizi basi, kama hufuti tutaendelea kukuona malaya wa kisiasa.View attachment 1979168
Geza ni malaya wa kisiasa kama alivyo sema nyerere kuwa malaya wa kisiasa ni nani huyu geza ndiyo alikuwa anaongea na magufuli humu jf akimwambia asiwape wakenya kuwa wakuu wa makampuni yaliyoko tz na ushauri wake magufuli alikuwa anaufanyia kazi na geza alikuwa akimsifia magufuli humu kwa mipango na miradi sasa wewe unajua kwanini hatukubaliani naye kwa kumpinga magufuli sababu ni unafikihow about kukubali mnapishana kimtazamo juu ya Magufuli wewe unamtukuza yeye hamtukuzi?
Walio lipwa utawajua tuuuFuta na hizi basi, kama hufuti tutaendelea kukuona malaya wa kisiasa.View attachment 1979168
Mkapa aliua wazanzibari zaidi ya 2000 kwenye utawala wake kikwete kapora ushindi wa upinzani zanzibar mara chungu mzimakwahiyo alivyokuwa anakandamiza Wapinzani kisa ya mtazamo tofauti niseme sawa tuu? duh.
Jamani wakenya wamesha choka wacha tunyoshane wenyewe kwa muda furani wakati tunasubiri mang'amuzi ya magufuli yakamilike kama daraja la tanzanite na sgr na bwawa la umeme nk ,Mkuu wewe ndio unawapa kiki hao jamaa, what if tukijadili mambo mengine?