Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndiyo uweke hapa hiyo sheria inayosema ni marufuku miradi ya maendeleo kupelekwa baadhi ya miji Tanzania, pia usisahau kuonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania.
ingia website ya TAMISEMI wame-clasify vigezo vya miji na majiji na mipango miji pia!

Chato Bus Stand (Tshs 6bln awamu ya kwanza)

Geita Town Bus stand
ED9d-HkWwAAhPK9

ingia website ya TAMISEMI wame-clasify vigezo vya miji na majiji na mipango miji pia!
Shukran sana mkuu, Kwahiyo kabla ya kuangalia hii video unanihakikishia kabisa humu nitaona jinsi katiba inapiga marufuku baadhi ya miji Tanzania kupewa miradi ya maendeleo na pia video inaonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania c ndio mkuu.
 
kujitoa ufahamu haimaanishi TAMISEMI haina sheria za mipanyo miji pitia website yao! Nina uhakika kama Kikwete angefanya haya Msoga kwake mitusi ambayo angeshushiwa kusingekalika humu ndani!
 
Jaribu kwenda msoga alafu uone kama utakutana na vumbi la Chato.
 
Shukran sana mkuu, Kwahiyo kabla ya kuangalia hii video unanihakikishia kabisa humu nitaona jinsi katiba inapiga marufuku baadhi ya miji Tanzania kupewa miradi ya maendeleo na pia video inaonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania c ndio mkuu.
punyeto inashusha uwezo wa kufikiri mwambieni huyu Geza Ulole aache
 
as if chato sio tanzania ata hivyo sjaona mradi wa hovyo ambao haugusi maisha ya common mwananchi chato!!

jk aliona msoga inataka li mansheni lake tuu and nothing more
Hawa wanataka kuona Watz karibu milioni 40 wanaomlilia Magu ni wajinga, nchi nzima ilikuwa inajengwa, lami kila kona, masoko madaraja hospitali n.k lkn mzee alipojaribu kupeleka maendeleo na Chato kwa watanzania wenzetu watu hawataki, walitaka asipeleke maendeleo na kule walipomlea? Kwan watu tunasoma ili iweje kama co kuokoa Jamii inayotuzunguka kwa kutatua kero zao? Walitaka Chato imlee alafu iambulie patupu? Je wao wangeweza? Yani wapeleke maendeleo kote lkn kwao wapasahau!!!
 
as if chato sio tanzania ata hivyo sjaona mradi wa hovyo ambao haugusi maisha ya common mwananchi chato!!

jk aliona msoga inataka li mansheni lake tuu and nothing more
Mm ningewaona wana akili kama wangesema JPM alikuwa anajilimbikizia mali lkn kumbe alikuwa anajenga nchi nzima ikiwemo na kwao ss shida iko wapi.
 
Halafu hakuna kitu kinanikera km watu kumtusi na kumfananisha magufuli na huyu mwanamama mpumbavu Samia suluhu Hassan.Hususan huyu jamaa aitwaye opportunistic cost Hana akili kabisa.Eti anamlinganisha Samia Suluhu na Magufuli.Hata haya Hana.
 
Hawa wapumbavu wachache tunapambana nao humu mpk waelewe, najua watachelewa kuelewa lkn hatutachoka kuwaelewesha ili baadaye tutumie msemo wa TULIWAAMBIA.
 
Kweli kabisa yani unamfananisha Magufuli na huyu mama mpika visheti?
Siku hz kila kitu bongo kinasuasua mpk umeme unasuasua.
Bullshit!
Halafu eti jitu pumbavu linamtetea huyu mama
 
Kule skyscraper huwa na deal na mambo ya Tz tu, huwa sijishughulishi na habari zenu cz hakuna jipya mtapost, na kama kungekuwa na jipya mngeshapost humu, tofauti ni nn mpk msipost humu, mmeanza kutafuta sababu wapuuzi nyie, mshamaliza picha zote wkt cc ndiyo tunaanza.
Na
Kweli kabisa yani unamfananisha Magufuli na huyu mama mpika visheti?
Siku hz kila kitu bongo kinasuasua mpk umeme unasuasua.
Bullshit!
Halafu eti jitu pumbavu linamtetea huyu mama
Geza ulole anamchukia Sana Magufuli,japo sijawahi kuona akianaika mabaya yake humu,alafu inamuuma Kuona wananchi wa Chato wanapata maendeleo Kama wananchi wengine wakati kuna mikoa ilifanyiwa maendeleo na Magufuli kuliko hata hiyo chato.mfano
1.Alichukua uamuzi mgumu kutekeleza maamuzi ya serikali ya kuhamia Dodoma wakati serikali nyingi hazikuwa na nia hiyo
2.Alijenga hospital ya Rufaa ya mtwara.
3.Alijenga meli Ziwa Nyasa,na ziwa victoria
4.Bandari ya mtwara na karema
5.Kiwanja cha ndege katavi na viwanja vingine vingi nk.

Hayo yote sio ya chato,lakini unashangaa huyu jamaa hayataji hayo anashinda humu kupiga kelele kuhusu chato. Mwanzoni nilikuwa namkubali Sana,lakini kwa tabia hizi za kibaguzi na kufuatilia vitu vya kitototo nimemvua kofia aise!yaani utadhani chato sio TANZANIA!? Shubamit!!!
 
Na

Geza ulole anamchukia Sana Magufuli,japo sijawahi kuona akianaika mabaya yake humu,alafu inamuuma Kuona wananchi wa Chato wanapata maendeleo Kama wananchi wengine wakati kuna mikoa imefanyiwa maendeleo kuliko hata hiyo chato.mfano
1.Alichukua uamuzi mgumu kutekeleza maamuzi ya serikali ya kuhamia Dodoma wakati serikali nyingi hazikuwa na nia hiyo
2.Alijenga hospital ya Rufaa ya mtwara.
3.Alijenga meli Ziwa Nyasa,na ziwa victoria
4.Bandari ya mtwara na karema
5.Kiwanja cha ndege katavi

Hayo yote sio ya chato,lakini unashangaa huyu jamaa hayataji hayo anashinda humu kupiga kelele kuhusu chato. Mwanzoni nilikuwa namkubali Sana,lakini kwa tabia hizi za kibaguzi na kufuatilia vitu vya kitototo nimemvua kofia aise!yaani utadhani chato sio TANZANIA!? Shubamit!!!
Huyu mzee amejipunguzia umaarufu humu ndani kwa sintofahamu zake.
 
Na

Geza ulole anamchukia Sana Magufuli,japo sijawahi kuona akianaika mabaya yake humu,alafu inamuuma Kuona wananchi wa Chato wanapata maendeleo Kama wananchi wengine wakati kuna mikoa ilifanyiwa maendeleo na Magufuli kuliko hata hiyo chato.mfano
1.Alichukua uamuzi mgumu kutekeleza maamuzi ya serikali ya kuhamia Dodoma wakati serikali nyingi hazikuwa na nia hiyo
2.Alijenga hospital ya Rufaa ya mtwara.
3.Alijenga meli Ziwa Nyasa,na ziwa victoria
4.Bandari ya mtwara na karema
5.Kiwanja cha ndege katavi na viwanja vingine vingi nk.

Hayo yote sio ya chato,lakini unashangaa huyu jamaa hayataji hayo anashinda humu kupiga kelele kuhusu chato. Mwanzoni nilikuwa namkubali Sana,lakini kwa tabia hizi za kibaguzi na kufuatilia vitu vya kitototo nimemvua kofia aise!yaani utadhani chato sio TANZANIA!? Shubamit!!!

Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewanyumba za Polisi, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, soko la kisasa, ikajengewa na chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC), ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa mahakama ya Wilaya kama ya Chato, ikajengewa ofisi za Zimamoto kama Chato, ikajengewa Hoteli ya nyota 3 (inasemekana nyota 4) kama Chato, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!

Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!
we mzee bana
 
Back
Top Bottom