Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
yah,huo ndiyo ukweliWatawapata sana wanigeria na hata waghana
yah,huo ndiyo ukweliWatawapata sana wanigeria na hata waghana
yaani sijauelewa kabisa huu mchezokumbe ile ndege ya Rais Tanzania inatumiwa na Rais wa Burundi



Kwahiyo Burundi hawana ndege? Au hii wamekodi, alafu c tuliaminishwa kwamba ndege hii si salama hivyo inabidi wapande Airbus!??Hii kitu kumbe ipo?

nani alikuaminisha Gerson Msigwa? tumia "nili" mzee...Kwahiyo Burundi hawana ndege? Au hii wamekodi, alafu c tuliaminishwa kwamba ndege hii si salama hivyo inabidi wapande Airbus!??![]()
Wacha nikufunze ngeli ya lugha ya Kiswahili ya Kenya. Justinr kwani hujui kuwa neno "kenye" pia ni neno la kiswahili hapa Kenya? Maana yake ni sawia na maneno " jambo ambalo". Badala ya kusema "Jisomee jambo ambalo umeandika" huku Kenya huwa tunasema "Jisomee kenye umeandika." Vile vile neno "penye" ina maana sawia na maneno "mahali ambapo" kwa mfano badala ya kusema "Nionyeshe mahali ambapo umeandika." huku Kenya huwa tunasema "Nionyeshe penye umeandika."Ww ndio hata ulicho andika hujui, please back to your english"jisomee kenye umeandika" fool kwani uliambiwa ni lazima unijibu
![]()
Kwanza, wapi tulisema kwamba uchumi wetu ulikuwa wa 7%? Hebu onyesha. Pili, uchumi wetu haukuwa kwa -3% bali -0.3%.Kumbe kenya last year uchumi wao ulikua kwa -3.0% 😂😂😂😂, kwahiyo walikua wanatudanganya hawa jamaa😂😂😂 kujifanya eti uchumi wao ulikua kwa zaidi ya 7% mkunya ni muongo sana..
Hakuna shida. Wacha matajiri waondoke kwenye barabara ya chini. Tuwache kufinyana huku na wao. Wao wacha waende kwenye barabara ya juu. Mwisho wa siku kila mtu atafaidikaKama ingekuwa ni "free of charge" ndiyo ungeweza kuwa na uhakika kwamba gari nyingi zingetumia kila siku. Hii ni sawa na Karen au Nairobi Hospitals, only upper and few Middle class can afford
Burundi ni nchi ya Tanzania iliyopo nje ya mipaka yetu (joking)kumbe ile ndege ya Rais Tanzania inatumiwa na Rais wa Burundi


