Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
leta ushaidi hao walipotezwa roho walimtukania mama yake!Hakuna kiongozi aliongoza kutukanwa wazi wazi kama JPM cz alileta mabadiliko ya kweli hapa Tz yaliyowaumiza mafisadi na vibaraka wao, so JPM kutukaniwa mama ilikuwa ni kitu cha kawaida sn labda utake kukataa sahizi.
Btw nakuomba uwache huu ujinga mara moja, baki kwenye uchambuzi.


