ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,942
Yaani mzigo unaingia Mombasa ila clearing unafanya Nairobi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ghost town [emoji1787][emoji1787] uchumi umekufa mombasa
Hii yote ni kwa ajili ya kulazimisha watu watumie white elephant SGR.
Matokeo yake, no business in Mombasa and it is becoming a ghost town.
Deni la mchina lita watafuna sana hawa jamaa. Na bado.