Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Ona akili fupi?😂😂😂😂Can u kindly explain to me why fuel prices shot up in Kenya na sio tu pwani? Na kwanini tena bei zilishukishwa wiki ilio pita?.., explain the politics behind it.., nione fikra zako, wewe kazi ni ku quote tweets selectively that align with your skewed reasoning tu using them to propagate your subjective views and wishes.., ili Tz ionekane nafuu kwa muonekano wako😂😂😂., Mko hovyo, mapungufu ya Kenya yasikutekenye kisha unacheka, jiangalie😂😂😂😂.,Na mm niliwah kukwambia hapa mombasa ilishakufa muda tu 😆😆 ukawa mkali sana ona leo hii sio tu transportation imekufa mpaka real estate imekufa pia ww hushangai fuel inauzwa ghali mombasa kuliko uganda kampala alaf bado unapiga kelele humu 😃