Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio within 9 years Uhuru amejenga 10,000 km of tarmack. Najua hamuamini lakini sisi sio malazy kama nyinyi. Ama wacha nitafute hio report niilete saa hii japo itanichukua muda kidogo. Munipe dakika 30 nitafute hio report ya KNBS iliyotolewaa mwaka huu.
Sawaa tunasubiri
 
We hujawahi kufika geita unadangaywa tu na wanasiasa wa upinzani unaondoka nayo .. kwanza, soko la kisasa, Machinjio ya kisasa.. hizo facilities zilitengenezwa Geita mjini na sio chato.. pia chato kulijengwa hospital kubwa tu ya mkoa, pamoja na jengo la Halmashauri. Pita hapa👇. Individual development level mjini Geita 👇. . Nilikuepo hii mikoa juzi tu naijua vizur, huna cha kunidanganya .. kwahiyo kwasasa najua nini kinaendelea, tembea bro usijifiche DSM pekee


Kituo cha Zimamoto Chato
10-4.jpg
 
Article inasema kwamba serikali imejenga 10,000 km of tarmack road lakini wanaongea kuhusu serikali ya Uhuru. Hawaongei kuhusu total km under tarmack. Unataka nikuletee ushahidi kutoka Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) kwamba Kenya ina 21,000 km of tarmack roads? Ushahidi huo upo ukiutaka nitakuletea chini ya masaa 24. Nakumbuka nikiisoma mwezi uliopita aidha kwenye economic survey report au kwenye rebasing report. Kama unataka hio data sema nitakuletea ila lazima niende niitafute kwanza ila ipo na niliisoma.
Acha upuuzi wewe, hao NBS ni kompyuta kids hawana wanachojua. They produce figures to serve the interests of jayden nothing more.

Jumla ya paved road ni around 10k, Sasa bishana na waziri wenu.
 
Sijui. Siwezi kuwa 100% sure. Lakini naamini serikali yetu, mbona serikali idanganye? Itafaidika vipi kwa kudanganya? Anyway nimeamua wacha nitafute hio report ya serikali kuu iliyotolewa mwezi uliopita ninaiweka baada ya dakika chache.


You're unbelievable. Naona tuishie hapa tu.
 
Kituo cha Zimamoto Chato
10-4.jpg
Swali langu hujalijibu, nimekuomba uniletee ushahidi kwamba Chato imejengwa kuliko miji yote Tanzania na unioneshe kifungu cha katiba kikisema kuna baadhi ya miji hairuhusiwi kupelekewa miradi ya maendeleo, unachofanya hapa ni kurukaruka na kuonesha baadhi ya miradi muhimu iliyojengwa enzi za Magu kati ya miradi mingi nchi nzima.
 
Swali langu hujalijibu, nimekuomba uniletee ushahidi kwamba Chato imejengwa kuliko miji yote Tanzania na unioneshe kifungu cha katiba kikisema kuna baadhi ya miji hairuhusiwi kupelekewa miradi ya maendeleo, unachofanya hapa ni kurukaruka na kuonesha baadhi ya miradi muhimu iliyojengwa enzi za Magu kati ya miradi mingi nchi nzima.
siwezi kukujibu kwavile Chato si mji ni wilaya! Mji Mkoa wa Geita ni Geita Mjini!
 


You're unbelievable. Naona tuishie hapa tu.
carter Sama boy 255 The best 007 ndio huu mzigo nimeupata. Nilikuwa tayari nimeshaisoma karibu yote. Ni mzigo mkubwa sana yenye pages karibia mia nne ila page husika ni page 201. Nitaweka link hapa aliye na haja afuate huko asome page 201. Ila pia naweka screenshot. Kwenye hii screenshot utaona kwamba by 2020 Kenya ilikuwa na 19,648 km of bitumen road. Yaani hio ni kama 20,000 km. In fact by now imeshafika 20,000 km maana hii data ni ya 2020.




1634398485063.png



Hapa nimezoom zaidi ili mueze kuona vizuri hapo mahali palipoandikwa kwamba Kenya ina 19, 629 km of bitumen (paved) road.


1634398676180.png

Mwishowe ninaweka link anayetaka kusoma zaidi afuate link aende page 201.
 

Dar orders five planes to bolster Air Tanzania​

air tz

Summary

  • Aviation industry sources told The EastAfrican that the funds were approved by the current government despite heavy losses incurred by the carrier under a revival programme initiated by former president John Magufuli and effects of Covid-19 pandemic.
  • The planes, once they arrive in the country, will raise Air Tanzania's current fleet size to 16.
  • Zanzibar President Hussein Mwinyi disclosed the plans to purchase the additional five aircraft while receiving the latest Airbuses.

By BOB KARASHANI
More by this Author
Tanzania has made a down payment of Tsh596.3 billion ($258.7 million) for the purchase of five aircraft for its struggling national carrier Air Tanzania.

The order includes cargo planes, which are all expected to be delivered before the end of 2023.

Aviation industry sources told The EastAfrican that the funds were approved by the current government despite heavy losses incurred by the carrier under a revival programme initiated by former president John Magufuli and effects of Covid-19 pandemic.

The planes, once they arrive in the country, will raise Air Tanzania's current fleet size to 16.

In addition to two new Airbus A220-300s received earlier this month, the airline's stable comprises two Boeing 787-8 Dreamliners, two other Airbus A220-300s and five Bombardier Q-400/Dash 8-400s.

Zanzibar President Hussein Mwinyi disclosed the plans to purchase the additional five aircraft while receiving the latest Airbuses, named ‘Zanzibar’ and ‘Tanzanite’ respectively, on behalf of President Samia Suluhu at Zanzibar's Abeid Amani Karume International Airport on October 8.

He said the process was already "under way" but did not offer details.

The announcement coincides with a pledge by the President Suluhu's administration to push her predecessor's plans to revamp the airline and bolster Tanzania's aviation industry through new investment.

At the same time, Air Tanzania announced four new regional routes to be launched next month from Dar es Salaam to Bujumbura, Ndola, Lubumbashi and Nairobi.

Dar-Bujumbura flights are scheduled to start on November 8 while the Dar-Ndola and Dar-Lubumbashi routes will be launched on November 18 and Dar-Nairobi on November 26.

The airline currently provides regional flights to Entebbe, Harare, Lusaka, and Hahaya and a weekly cargo flights to Guangzhou, China.

It suspended the Dar-Mumbai route in May due to concerns over a spike in Covid-19 third strain cases in India, but resumed them at the end of August.

Flights to Johannesburg were also cancelled over Covid-19 travel restrictions.

Despite a massive outlay of close to $600 million on new aircraft, Air Tanzania’s revival has continued to flounder, a situation exacerbated by the coronavirus pandemic.

 
Sisi wa wilaya ya Musoma Mjini tumejengewa Hospitali ya rufaa iliyowashida maraisi wa 4 waliomtangulia JPM na uwanja wa ndege unapanuliwa, sas sijajua na sisi tulipendelewa au?au utakua sisi tupo kisheria na Chato haipo kisheria.., nlitaka kusahau na barabara za lami za mitaani na mitaa km yote...
Nilipitia musoma aisee nikala furu za kutosha kunapendeza aafu kumetulia Sana,barabara ziko poa, a simple town with great people 👍👍👍👍
20211005_120646.jpg
20211005_115305.jpg
 
Uwanja wa Mpira Chato
66371405_2822905554450153_4394839416074403840_n.jpg








Inawezekana Geza Ulole kwamba kwa sababu ya culture mbaya ya kumuogopa Hayati Magufuli, mawaziri wenyewe walikuwa wanasukuma miradi hii ijengwe Chato badala ya maeneo mengine ili kumfurahisha Magufuli. Naye Magufuli kwa kupenda nyumbani, hangekataa miradi hio kuja nyumbani. Inawezekana miradi hii ilikuja Chato kwa sababu ya mawaziri kujaribu kujipendekeza kwa rais Magufuli?
 
Back
Top Bottom