Au ww ndio chizi usiye jua pia currently ina manasha so far hapo ndio mlipo fikia [emoji23][emoji23][emoji23]fool"CURRENTLY" hapo inamaanisha anaongelea serikali ya sahii. Kuna kitu inaitwa context, usiwe mjinga bana.
Mi siongelei piacha mzee, nakwambia hivi waziri wa ujenzi ndiye kajenga barabara zote awamu ya tanoWewe unadandia tu mada hsta uelewi kwanza hiyo picha siyo chato airport hakuna hizo nyufa
Wewe ni muongo mzee sisi kigoma mjini na kasulu mjini tulijengewa stand na magufuli tembea uoneTuwe wakweli Kuna fedha ilitumiwa vibaya pale Chato.Kuna mikoa Kama Lindi,Kagera,kigoma,Tabora bado haina stend za kisasa tena inahost mabasi mengi why ujenge wilayani Chato ambapo yanapita mabasi ordinary na ya Mashambani tu.
Tuonyeshe ya tandale kw tumboHivi wenzetu wanatumia nini kujenga barabara? Tope ama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1976252
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji517]Mi siongelei piacha mzee, nakwambia hivi waziri wa ujenzi ndiye kajenga barabara zote awamu ya tano
Dhamana ya wizara iko kwenu au???🤣🤣🤣Mi siongelei piacha mzee, nakwambia hivi waziri wa ujenzi ndiye kajenga barabara zote awamu ya tano
Mbona utuambii pesa za rumbesa walizo chukua mkwere na timu yake zilipitishwa bungeni liniWacha unafiki wewe nionyeshe tusi la nguoni nililotukana! Au kusema JPM alikuwa Mkabila na alipedelea Chato kwa kutumia fedha za serikali bila kupitishwa na Bunge? Mimi nime-respond kwa kutumia wazazi wa wanaonitukana!
Watakwambia natural disaster [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kawaida hakuna haja ya kushangaa
Ni kawaida hakuna haja ya kushangaa