carter Sama boy 255 The best 007 ndio huu mzigo nimeupata. Nilikuwa tayari nimeshaisoma karibu yote. Ni mzigo mkubwa sana yenye pages karibia mia nne ila page husika ni page 201. Nitaweka link hapa aliye na haja afuate huko asome page 201. Ila pia naweka screenshot. Kwenye hii screenshot utaona kwamba by 2020 Kenya ilikuwa na 19,648 km of bitumen road. Yaani hio ni kama 20,000 km. In fact by now imeshafika 20,000 km maana hii data ni ya 2020.
View attachment 1976612
Hapa nimezoom zaidi ili mueze kuona vizuri hapo mahali palipoandikwa kwamba Kenya ina 19, 629 km of bitumen (paved) road.
View attachment 1976614
Mwishowe ninaweka link anayetaka kusoma zaidi afuate link aende page 201.