Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
mention hizo list ya hizo tarnamack roadData za serikali ya Kenya zinasema Kenya ina 21,000 kilometres of tarmack roads wakati Tanzania ina 13,000 kilometres of tarmack roads. Najua ukweli inauma lakini itabidi uzoee.



