babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,286
- 35,687
Sema chupa zao zina shepu mbaya kinoma hazifai kabisa kupiga tarumbeta.Alafu wanatumia maglas ya kushare na corona hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni chupa ambazo ziliacha kutumika Tanzania miaka kumi iliyopita. [emoji23][emoji23][emoji23]