Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya wengi Wana lack ubunifu ukiingia kwenye apartments zao unakuta kiti cha L shape na picha ya wanyama on the wall basi,wachache Sana utakuta Wana interior unique 🙂
Hata wanaija pia wana hili tatizo mtu ana mgorofa wa maana ila finishing ya kingese kweli!!! Kuanzia rangi, partition, colour match... appliances...... hovyo.
 
Saahivi 2021 october 17th
IMG20211017213832.jpg
IMG20211017213825.jpg
IMG20211017224342.jpg
 
Back
Top Bottom