Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marais wengi wa afrika walkua marekani( including rais wenu) kwenye shughuli za UN, ila hakuna hata mmoja alienda white house. Uhuru ameenda marekani siku mbili tu, kashaalikwa white house.....
Can you please stop that pathetic nonsense at once?Gods know how long your pathetic gvt hv been ask for tht nonsense meeting with Biden
 
Wangapi wamekufa eti? Weka number hapa tuone..., mnatamani fikra zenu potovu zitimie au ziwe ukweli, poleni, facing food shortage coz of drought sio watu kukufa, povu ruksa
Fukara mnao kufa na njaa ..unaongea nini?
Nani akulete data siuka chukue mwenyew uko turkan....anza na kuwa tafuta hawa
JamiiForums2048965383.jpg
 
Attachments

  • JamiiForums2048965383.jpg
    JamiiForums2048965383.jpg
    38.2 KB · Views: 8
90% ya Wakenya wana akili mbovu kama huyu.
Wana mambo mengi ya kusikitisha yanaendelea endelea nchini kwao ila huwezi wanaona wakileta humu wao ni kuangaika tu na mambo yasiyo wasaidia kitu.

Mauaji ya wananchi wasio na hatia yanaendelea Laikipia, serikali yao ilipeleka vikosi ya usalama lakini hadi leo hii wamesindwa kuleta amani pale mauaji bado yanaendelea.
 
Marais wengi wa afrika walkua marekani( including rais wenu) kwenye shughuli za UN, ila hakuna hata mmoja alienda white house. Uhuru ameenda marekani siku mbili tu, kashaalikwa white house.....
Hebu toa ushauri chief, tufanyeje ili Raisi wetu aweze kuitwa white house?
 
fanya hivi pita pembeni The head of UN Habitat planners wakuu wa sustainable cities! utumbo unaongea wewe! Mkamegeane Sukumaland yani Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu! Msiguse ardhi ya Kagera au Kigoma!
Lakini na wewe Geza una shida mahala, hivi hao sijui sukuma gang walikufanyiaga nini sio kwa chuki hizo hebu chukua maji ya baridi hapo unywe upunguze makasiriko.
Maisha mafupi haya,hivi ikitokea wamegawa na kipande cha kagera utakufa?au utamchukia mama?Kua mvumilivu,Tanzania ni yawatanzania wote.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mama amekukosea nini?

Hivi una habari hiyo ndege iliwekwa order kipindi cha JPM na hata hiyo Zanzibar ni uongozi wa JPM ndo ulishahuri iandikwe Zanzibar au hujaona "Hapa Kazi tu"

Asee embu badilika mzee.

Mkiendelea hivi mtafanya na wengine tuanze kuanika madudu yaliyofanyika awamu iliyopita halafu tulinganishe na awamu hii.

Ni wapi paliandikwa kuwa kama awamu iliyopita ilipendelea kutumia magari basi na hii awamu ni lazima nayo itumie magari?
Huwa nikiwatukama watu wenye kutumia makalio kufikiri kama huyo Lwiva wanakimbilia kwa mods..

Serikali ya Mwendazake ilikuwa inalea udisadi kwa vile ilijaza watu wa Kanda yao wakawa wananufaika na ufisadi.

Kuna swali huwa nauliza lini uliwahi ona Ripoti ya CAG awamu ya tano imeonyesha ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za Umma vimepungua? Badala yake viliongezeka.

Mama ka guarantee uhuru wa kujieleza sasa tunajua kwamba kampuni za sgr kwa mfano ni kampuni za mfukoni na kampuni za Bwawa Haina hata uwezo nayo ni kampuni ya mfukoni.

Jana kweli mwenge umeona Ripoti ya Kiongozi wa mbio za Mwenge amemwwambia Rais Kuna miradibua zaidi ya bil 65 imefanywa isivyostahili.Kwa mwendazake nani angethibitu kuwanyooshea kidole watu wake?
 
Mods wa kazi gani sisi tunampinga raisi yoyote atakaye kuwa mpumbaavu na kumuunga mkono yoyote asiyekuwa mpumbaavu huyu mama anamatatizo mengi sema ameyaficha kwa sababu ya magufuli legacy, kama si hivyo hata wewe ungemchukia maana angejiachia tuone rangi yake , ni Mtumpumbavu tu anaweza kumpinga magufuli
 
Back
Top Bottom