Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Imperative thinking (programming) huwa inafundishwa kwenye Advanced applied math II (kinadharia).Mkuu mi nakumbuka wakati advance tunasoma complex numbers na probability ambazo tulianza soma toka o'level labda ile advance wakatifundisha basic ya programming labda web development au java au mambo ya graphics design au basic ya networking maana kwenye physics advance kunakuaga na electronics inguka an networking kidogo . Ni kitu ambacho ukitoka shule uwaweza apply kwenye maisha na mambo yakaendelea . Sio kuchora panzi
Unakumbuka kwenye kutengeneza complex proposition (truth table)? Tulifundishwa algorithms pamoja na if statements zake wakati wa kuchora flow diagrams.
Ila inabidi wafundishe programming yenyewe maana wanawachelewesha vijana, kujiandaa na dunia ya 4th industrial revolution.



