Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
yaani nawewe hujui hata mambo fuatilia,Unadhani Kenya itaruhusu ndege yenu kupiga route ya Nairobi? Wacha kuota mchana mzee.
vitu vishasukwa tiyati tarehe tu ndiyo inangojewa
yaani nawewe hujui hata mambo fuatilia,Unadhani Kenya itaruhusu ndege yenu kupiga route ya Nairobi? Wacha kuota mchana mzee.
na nikama utani ,,ila in reality tunaenda kuwapunguzia market kwa kiasi kikubwa sanaHuyo mkikuyu ana wivu hakuna mfano.
Pitia uzi wa EACOP ndo utaona namna alivyo na wivu kiwango cha Ile mitungi yao ya changaa.
ATCL inakuja Nairobi na ole wenu tusikie figisu aina yoyote. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo wakenya wanashangaa na kuwaona wajinga sana hao jamaa ,maana Kenya kwa njaa waliyonayo ingekuwa ni ule msemo wa mbwa kafia kwa muuza supu
hatuji kuuwa KQ hiyo ni biashara mzee,kama nyie mnafika Tz kwanini sisi tusije Kenya,Hata mimi nimeshangaa Uhuru anafanya nini? Anawezaje kuwaruhusu malazy kuja Nairobi kuuwa KQ? Hio haikubaliki. Wakenya watazua rabsha wakifahamu kuwa TZ inajaribu kuuwa KQ.
Huyo huwa hayuko up to date usikute hajui kama tumeingiza Airbus mbili kwa mpigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bishana na gazeti lenu sasa.View attachment 1972964
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka a while back, nilikuwa na route sana za Uganda kwa basi.
Unakuta unaondoka Dar na basi Akamba, zuri kabisa, kitu AC safi. Mkifika Nairobi mna badilishiwa basi na kupewa basi la Akamba bovu yaani, vioo vina piga kelele hatari.
Ukiuliza, wana kwambia barabara za Kenya na Uganda mbaya, na pia wakipeleka basi baya Tz hato panda mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado anadhani hii ni Tz ya 90[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bishana na gazeti lenu sasa.View attachment 1972964
Pilots mtatowa wapi nyie malazy au mnadhani kutrain pilots ni kama kutrain watu wa kuosha choo? Kutrain pilots kunachukua miaka kadhaa na ni gharama kubwa ajabu.hatuji kuuwa KQ hiyo ni biashara mzee,kama nyie mnafika Tz kwanini sisi tusije Kenya,
ushindani unaanza taratibu,kikubwa ni ufanisi tu wa utendaji kazi ndiyo unaotakiwa atakaye win atateka soko
Vp kdf wanakatiza huko siku hzi..maana nasikia wanapaogopa sana hukoHii ni Tukana sawa. Wajinga wachache kutoka Tanzania wanaopenda kukejeli Turkana wafahamu hilo.
A1 Road, Kainuk, Turkana county
View attachment 1972879
Cc Sama boy 255 Lusematic Trubarg ichoboy01 joto la jiwe
Hata mimi nimeshangaa Uhuru anafanya nini? Anawezaje kuwaruhusu malazy kuja Nairobi kuuwa KQ? Hio haikubaliki. Wakenya watazua rabsha wakifahamu kuwa TZ inajaribu kuuwa KQ.
Kumbe ujui hesabu [emoji849][emoji849][emoji849] yaani dola moja ya marekani inafanya mambo makubwa mara 3 ya mambo inayofanya kenya ,nadhani umenielewa Tony254 njoo uchukue ili zigo la mavii linaitwa komora hukuSasa hapo pesa ukiangalia EA ni hela gani ambayo ina purchasing power..
Ksh 1000 inafanya mambo mengi sana EAST afrika yote lkn nyie visenti vyenu mkija navyo hku mnatoka mkinungunika[emoji1787][emoji1787]
wangeteka nyati watatu na kuwachinjaHapo wakenya wanashangaa na kuwaona wajinga sana hao jamaa ,maana Kenya kwa njaa waliyonayo ingekuwa ni ule msemo wa mbwa kafia kwa muuza supu
So Kenya now imeanza kulinganishwa na US and China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uko na akili finyu sana. gdp size in general. and gdp/population ie. gdp per capita is directly propotional to the influence, sophistication, development and quality of life in a country. take the case of US for instance, or the modern china, or even SA in africa
kwani wanaoendesha KQ mliwatoa wapi?Pilots mtatowa wapi nyie malazy au mnadhani kutrain pilots ni kama kutrain watu wa kuosha choo? Kutrain pilots kunachukua miaka kadhaa na ni gharama kubwa ajabu.
huyo nilimcheka sana nikagundua kuwa ni kichwa maji[emoji23][emoji23] hata hajielewiKumbe ujui hesabu [emoji849][emoji849][emoji849] yaani dola moja ya marekani inafanya mambo makubwa mara 3 ya mambo inayofanya kenya ,nadhani umenielewa Tony254 njoo uchukue ili zigo la mavii linaitwa komora huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona nyie yenu tumeiruhusu.Unadhani Kenya itaruhusu ndege yenu kupiga route ya Nairobi? Wacha kuota mchana mzee.
Unashangaa hiyo mimi alinipostia .mashoko yamejipaka lipstick akiyasifia[emoji1787][emoji1787]basi nikamuumbua hadi leo kani block comment zangu anijibu