Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

eti the biggest denomination in Tz Tsh10,000/-, is equivalent to only Ksh400/-. tz mkonashida aky
images (4).jpeg
8f728b9df370264e75b10b7ba8bfc4c4.jpg
 
Hakuna ndege ya Tanzania ambayo imewahi kuja Kenya kutoka enzi za East African airlines. Sema Uhuru anampenda mama na amemuonea huruma tu.
Inakaa hii habari ya Air Tanzania 2 daily flights imekuumiza saana mr Agressive Kenyan! Tulia mzee while Znz-Nrb route is loading...halafu FYI kuna uwezekano wa partnership ya KLM/Air France na Air Tanzania hizi ni za moto chini ya carpet! 🗣️👂
 
Tatizo unakuja na negative mentality unashindwa kuona point. Mi naongelea kumuenzi inavyopaswa! Hiyo mausoleum iliyojengwa haijakaa vizuri! hamna chuki hapa!

BTW huwezi kunilazimisha kumpenda unayempenda kila mtu ana opinion yake though opinion yangu kwenye hii nyumba ya kaburi la Magufuli ililenga kujenga.

This is Kenyatta's mausoleum
30589655322_ae51d2ba1a_b.jpg

Tom Moboya's mausoleum
DhUmJvzXUAABEX_

Oginga Odinga's mausoleum
dsc00415.jpg

Nyerere's mausoleum
IMG_3621-1024x768.jpg

Nkrumah's mausoleum
2070760188-2021-jan-19-15-18-59-000000-Kwame-Nkrumah-Mausoleum-1.jpg

Mandela's Graveyard

VS

Magufuli mausoleum
2778275_IMG-20210517-WA0089.jpg

MY TAKE
Well wacha niambiwe namchukia ila that thing for Magufuli is ugly! No creativity!

Alah! Huyu jamaa anafuatilia mambo ya Kenya kwa ukaribu sana.
 
Nairobi, ndola, Lumbumbashi, kinsasha, kigali na SA. Tayari route za lusaka, harare, entebbe Guanzhou mumbai comoro Bujumbura zina operate
You sound very optimistic but naive. Nawaombea ufanisi katika hii industry ngumu ya airline. Mkiambulia patupu hatutawacheka maana inaeleweka. Hii industry ni ngumu kama mawe.
 
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
 
Kampuni ya Abood leo imeingiza Tanzania basi mpya 20. Gari zimepelekwa kwao Morogoro.
IMG_20211013_200349.jpeg
IMG_20211013_200400.jpeg
Screenshot_20211013-194413_Twitter.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    66 KB · Views: 7
  • Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    66 KB · Views: 8
  • Screenshot_20211013-194413_Twitter.jpeg
    Screenshot_20211013-194413_Twitter.jpeg
    62.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    66 KB · Views: 8
Ila kwa hili sikubaliani nae,Kama ni Magu asingeuvumilia huu ujinga

Screenshot_20211013-195924.png

Mama kama mama, nani kama mama hakuna, Mama la mama Rais wa kwanza mwanamke East Africa, yn Tanzania ndio baba wa Democracy EA, anaitwa Samia Suluhu Hasan, a.k.a Madam Samia, mm ukifanya vizuri nakusifia ukizingua nakuripua cz I am purely communist.View attachment 1973201
 
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Na bado meli zetu zitatia nanga kwenye bandari zenu soon. WE ARE THE EA SUPER POWER.
 
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Vipi unaogopa ATCL yenye ndege 11 wakati KQ inazo ndege 40?
 
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Screenshot_20211013-195924.png

Mmeanza!
 
Back
Top Bottom