Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Saa hii mnatetea market forces na nyinyi ni socialists. Tangu lini nyie communists mumeanza kutetea uchumi wa kibepari? Ama ni kwa sababu mnaona mnafaidika sana na system ya kibepari?Uchumi na biashara unaendeshwa na market forces wala sio protectionism hayo ni mambo ya kizamani na yanarudisha nyuma EA integration.



