joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Itasaidiaje kupunguza jangwa/ukame ambao ndio sababu kubwa ya njaa na vifo?Kwani wewe huoni kwamba barabara mbaya pia ilikuwa inachangua ukali wa baa la njaa? Barabara ambayo haipitiki na inachukua siku nne kutoka Nairobi hadi Turkana saa hii inachukua chini ya masaa 18 kutoka Nairobi hadi Turkana.