komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tangu mbele akili zako zimehifadhiwa chatoAkili ndio hamna.
Tangu mbele akili zako zimehifadhiwa chatoAkili ndio hamna.
Mahesabu rahisi kabisa dollar moja kenya hupati hata beer moja lakini kwa Tanzania unapata beer 2 hiyo ndio reality on the ground, dollar 1 kenya hupati hata litre ya petrol lakini Tanzania unapata litre moja na change inabakiUmekasirika kuona ya kwamba hela yetu ina nguvu east africa
Mwenzako Lusematic amekimbia ndio kakutuma uje kumsaidia sio..
Dola ya marekani ina purchasing power karibia ulimwengu mzima, upo mzee..
Leo nataka niwatoe matongo tongo aisee, kw east africa ni hela ya kenya popote unatinga na ksh1000 hapa east africa na una kula vinono mpka raha![]()
Jamaa amejawa mapepo ya chuki na HayatiMagu Alikukosea nini Maana Unachuki binafsi hata Hayupo Duniani
Nafuatilia sana Comment zako humu
yaani we jamaa umejawa na Ujuaji mwingi sana Pia chuki
Magufuli Alisha pumzika Hata umchukie Vipi haita Saidia
ndiyo karibu tuugulie pamojaNaona baada ya kukupa kipigo takatifu sasa umeamua kuugulia pembeni
Nimtihani Wapo wanaozani Nirahisi Kumuondoa Magufuli kwa WatanzaniaJamaa amejawa mapepo ya chuki na Hayati
Ukuta unao kata mto umesha anza kupanda katikat ..vyema

