Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
hana akili huyoNumber only matter when they show its value in a basket of goods
Kq maji shingoni,walisabotage ndege nyingi sana zisije TZ zitue kwao then ndio wawalete TZ,nimeona even british airways ataanza direct flight to znz,hiyo route kq ategemee maumivu makali sanaNimepanda sana KQ route ya Dar to Zanzibar inawatu wengi sana Imagine Wanaotoka Nairobi... Hapa Huyu mama Kacheza Kama pele
ndoto ni ndototuna penda kupenda tz coz we are rest assured we dorminate them in each and every aspect/sector








ndo nilichokuwa nasema ndo maana nimeleta la Mandela na Bush Snr pia watu waone makaburi ya familia yanavyopangwa! Kama unajenga mausoleum basi iwe inapendeza au kama ni makaburi tu kama ya familia basi garden nzuri ya kuvutia! basi hata mkishindwa basi kokoto nyeupe! Serious japokuwa la Mkapa gharama ndogo linapendeza kuliko la Magufuli!
![]()
![]()
![]()
mi sijaona tatizo,sema watu wanataka show tena ningekuwa mwana family ningewaambia waliache wazi,labda ningeruhusu watengeneze sehemu kama ya kufanyia ibada ila kaburi lingekuwa nje ya jengoIzo ni mbwembwe tuu mbona la mkapa lipo simpo tuu watu hawasemii
Mkapa co Magufuli mkuu, hapa anaongelewa mwamba yn ukitoa Nyerere anafuata yeye, but cna tatizo na kabuli, huwa c complicate makabuli.
Kaburi ni kaburi tu, miaka inayokuja yupo kiongozi atajua umuhimu wake atalifanya liwe la kimataifa, kwa ss wacha liwe hilo hilo la kiruga ruga, kwanza miongoni mwetu hatupendi kusikia mwamba kafa, wacha tuzoee taratibu zen tutakubali matokeo but kwa ss wacha liwe la kishamba cz bado hajafa.Ofcoz kwa legacy hawafananii ila hapo kwenye kaburi sijui lipendeze, mara sijui wamjengee ili liwaje haina umuhimu
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.



mtakufa njaaMbona uzoefu wa kukunya kwa mfuko amtuambiiair tanzania aka wings of kilimanjaro are only flying coffins. hamuna ubunifu kwenye hii fani, kwenyu hii ni jambo geni sana. tuulize sisi watu wenye uzoefu katika hii sector. tuna tesa hadi anga ya juu
This is very good. We have to protect Kenyan industries, Kenyan farmers and Kenyan airline. Tunawapenda ndugu zetu lakini sio kiasi hiki cha kuwaruhusu kuuwa industries zetu.
Hamna kitu kama hicho, haiwezekani nyie mruhusiwe kuja kwetu everyday, sisi tusije kwenu! It's doesn't work that way.Hakuna ndege ya Tanzania ambayo imewahi kuja Kenya kutoka enzi za East African airlines. Sema Uhuru anampenda mama na amemuonea huruma tu.
eti the biggest denomination in Tz Tsh10,000/-, is equivalent to only Ksh400/-. tz mkonashida aky View attachment 1973210View attachment 1973226
Alah! Huyu jamaa anafuatilia mambo ya Kenya kwa ukaribu sana.
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Kubeba pesa kwenye gunia sio walletWhat’s wrong with that?